Maliza kulia nikwambie kuna siku nchi nzima iliisha luku
2026-07-25 16:10:43
53
Giannah's mom :
maliza kulia nikwambh baba wa taifa sio Nyerere ni Whozu
2026-07-25 17:25:16
21
Daudi Majebele :
Mna uhakika hii nchi hakuna sehemu palipo toboka?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-25 10:47:53
53
Nahya Hassan Adam :
maliza kulia nikuambie tulimpata raisi mampambania haki Tz, Jonh pombe magufuli lakini alitutoka kabla ya kumaliza madalaka🥺
2026-07-25 14:52:51
8
vancy...♍️ :
maliza kulia nikwambie tigo ni yas, kisha tukaandaman ss wenyew kisha tukazimiwa mtandao wiki 1 kisha nyeti kuchukuliwa pia ndege za airTZ hazipo tena zilichukuliwa na wageni pia kuna baby ollie
Maliza kulia nikwambia Tanzania ilipigana vita yenyewe kwa yenyewe
2026-07-25 10:17:54
19
Broken💔💔💔💔 :
Baada ya covid _19 uhuru umezidi kila mtu kachanganyikiwa kivyake😁😂
2026-07-25 16:19:19
6
emanuelhangida :
Maliza kulia nikwambie na vita yenyew 2lixhindwa
2026-07-25 14:51:27
9
(real 🦋shunu bae 🦋) :
2026-07-25 13:54:45
3
dyneerr :
Maliza kulia nikwambie kuna mtu alienda saloon na helicopter 😅😅😅
2026-07-25 15:18:26
7
Yassin :
ngoja kwanza ni kufollow nisije kupat zambi 😁😁😁😁😁😁
2026-07-25 12:41:42
5
♥️Agliana♥️ :
maliza kulia nikwambie wasanii wanatafuta uwakika
2026-07-25 16:47:40
8
🦋𝓐𝓱𝓽𝓻𝓪𝓶_𝓐𝓾𝓻𝓪💫💪 :
maliza kulia nikwambie na humphrey polepole hatupo nae tena😅😅😅😅