Pole babylove... ndo dunia... bakigi tu na mimi na da ime...
2026-07-26 07:05:17
41
Jamila Basty :
mi rafiki yangu ni Allah😘
2026-07-25 17:10:49
54
Glittergirl :
Acha nionekane sipendi watu,,mimi binadamu nawaogopa sana sana jmn,,wamenifanya nimekuwa makini na kila anaekuwa karibu yangu na siruhusu ukaribu wa hovyohivyo
2026-07-25 14:43:02
126
Salma Binti uledi :
Next please
2026-07-26 05:36:16
1
user5347653732322 :
pol san dad
2026-07-25 23:50:05
1
lizzyN :
Me rafiki yagu Al
2026-07-25 19:20:30
39
juliethalois :
kama cyo irine ni jackline au kajala😆😆😆
2026-07-25 19:24:43
20
Mariam suleiman Amagusa :
pole dada
2026-07-26 04:39:08
1
Raifat Milaji :
pole dada
2026-07-25 19:14:00
2
Javan kael :
So sorry be calm Aunt 🥰
2026-07-26 04:54:28
1
mollel family :
Pole dada
2026-07-25 17:38:16
1
Rehema Yahya :
Aunt shingo yako nzuri kipenz nakupenda toka nko darasa la tatu
2026-07-26 04:45:51
11
official_Ankot :
Ndyo mamba ujamaliziaaaaaaaaa
2026-07-25 21:34:42
11
Mwajuma Kiogomo :
Pole anti mimi yamenikuta mazito namdogo angu kabisa nilie mlea nakumsomesha lakini amenifanyia kitu sitokisahau mpaka naingia kaburini
2026-07-26 05:20:19
9
Mama Nu²🫂👣 :
pole jmn ndomn sna ujama ukarbu Wala udugu Zaid ya mama angu tuu
2026-07-25 10:33:09
10
pendo baby :
pole sasaiv hakuna kumuamini sana
2026-07-25 10:09:01
11
happy :
unachokiongea, sijakijua dadaangu ila na mimi yalionikuta mmmh ndo nimeaza kujua leo. ila ni kusali tu
2026-07-25 11:21:45
16
sweetnoory :
sinaga mtu naamini kwenye hii dunia labda madada zangu wa dam na mama yangu mzazi baada ya hao sitaki mtu ukija kwangu sawa ntakukaribisha kula uende zako,ila sitaki mazoea watu niwabaya hawana huruma
2026-07-25 15:33:14
5
zuu :
mlete tuu
2026-07-26 05:37:48
1
Winnie Ndunda :
next
2026-07-25 16:50:18
1
chris :
🤣bado hujasema
2026-07-26 05:57:57
1
patio :
kweli kabisaaa Auntie
2026-07-26 06:33:09
1
Neema :
pole jmn
2026-07-25 22:22:37
1
To see more videos from user @movielovestory0, please go to the Tikwm
homepage.