hata ganzi ya mda mrefu maana mimi nina miaka na ganzi
2026-07-25 18:01:16
1
S.A :
jamani zingatieni chakula na mazoezi tiba zipo ila hazimalizi tatizo tujaribu kubadilisha mfumo wa maisha maradhi yamekua mengi sana.
2026-07-25 19:13:45
0
Salum Dongwe :
ongera mama,hizoo ndizo elimu bora kwenye mitandao,ongera sana mama.
2026-07-25 18:03:05
3
DOUBLE 'S ' :
mimi ganzi inanisumbua sana hasa kwenye vidole na lala navaa socks sasa je inakuakua hairudi tena au na muda huohuo tu badae ina rudia tena please
2026-07-25 19:13:56
1
user4619271417573 :
mm hushikwa na ngazi kwamiko hata kushika simu mara nyingine siwezi, shukran nitajaribu
2026-07-25 18:46:52
2
Summer :
shukran
2026-07-25 18:46:09
1
Ali Haroun :
km hajakupata gaz unaweza kuweka pia mana mm napata ila co mara nyng na ikinipata niko mbali na foli inaweza saidia nikiweka mda wowote bila kupata ganz
2026-07-25 16:29:38
3
MwaJay :
Shukran jazeera 🙏
2026-07-25 18:37:41
1
freshflower :
shokran 🙏🏼
2026-07-25 19:03:18
0
HBM modesty&syles :
Turuhusu ku download kipenzi
2026-07-25 20:14:42
0
⚓️Able seaman⚓️ :
mashaallah 😘
2026-07-25 12:58:58
2
ashosha92 :
mie hupata maumivu makali ktk nyayo siwezi hata kutembea🥺
2026-07-25 20:07:04
0
G bata :
Mashaallh Allah akujaze kheri
2026-07-25 19:25:12
1
Sara :
shukran inshaallah nitajaribu
2026-07-25 18:54:40
1
🧸❤️🩹 :
mashallah
2026-07-25 18:47:06
1
saly🫀❤️🩹 :
kweli
2026-07-25 17:31:19
1
WURUUD :
masha ALLAH
2026-07-25 17:32:01
1
Aisha :
Asante sana 🥺🥺🥺
2026-07-25 20:38:55
1
HADISH :
jazakillahu khayran
2026-07-25 18:38:04
0
Sui the future :
kiswahili 100% ujumbe 100% ❤️
2026-07-25 17:56:30
1
user7530154999599 :
walykum salaam warahmatu llah. asante Allah akulipe kheir duniani na akhera
2026-07-25 20:31:33
1
Muhammed D :
Mh kweliiiii
2026-07-25 16:10:07
0
To see more videos from user @misszanzibar2, please go to the Tikwm
homepage.