Allah amsameeh makosa yake ya siri na dhahiri ampe kaul thabit. Nasie atupe mwisho mwema atupe Shahada kabla maut. 😭😭😭😭😭😭
2026-07-25 10:33:28
108
user8799145664747 :
Mungu amuweke pahala panapomstahikia
2026-07-25 14:32:49
44
mb suleiman :
Amin Amin
2026-07-26 05:23:15
0
Monalisa Peter :
Jamaniiiii si tuseme sabri bachaniii jamaniii… kwani si ndo umaarufu wake?
2026-07-25 13:15:11
26
semeni :
Amini Amini
2026-07-26 06:51:51
0
deee junior :
Ameen yarby
2026-07-25 17:32:09
0
brother_keita :
May His Soul Rest In Peace 🙏🏿 Amin
2026-07-25 18:10:03
1
user6961623765422 :
amin amin
2026-07-25 14:38:58
0
kuku/farm :
kaka etu yupi mbona unapenda kutuamulia wewe uyo alisha hama group zamani sana
2026-07-25 17:47:09
9
Tifa :
mashllh
2026-07-26 06:42:15
0
Abuu Swafwan :
kwaio hao waloenda kumsitiri wote wanashabikia chama kimoja?
2026-07-25 16:31:05
6
Tuma baby2303 :
AMEEN ATUSAMEHE NA SS
2026-07-25 11:28:53
11
maludaog :
Allah amsamehe makosa yake na sisi pia atusamehe
2026-07-25 14:32:25
20
Omar :
mm tu jeneza nisingebeba
2026-07-25 19:15:28
4
umm joury :
Inalilah Waina Ilayhi Raj3n. Sabri Allah akupe kauli thabit amuondoshee adhabu kaburi malaika wema wawe marafiki zako YaRab Alamin. Allah akusameh akusameh akusameh kipenzi cha kila mtu... Allah anajuwa mwenyewe mema yako uliyo yafanya lakini inshallah na wewe uskuwa kati ya watu wema YaRab Alamin 🤲🏼
2026-07-25 11:00:58
15
Home boys :
Nimependa izi coment ya dua ila nazichukia sana zile dua za ivi kama umpunguzie azabu ya kabriii sasa amupunguzie amuongezee nani ?
2026-07-25 15:26:44
5
Khayraty Khalid :
inalilah waina ilayhi rajiuna Allah amsamehe makosa yake atujaalie mwisho mwema
2026-07-25 10:41:52
8
Antiru :
Allh amlipe kwa matendo yake...
2026-07-26 07:18:54
2
user2340786611345 :
Mungu amsameh Makosa yake ya siri na dhahir Mungu yeye ndio anaotoa msamaha Nasisi Mungu atupe khusnulkhatima
2026-07-25 15:58:10
6
user286080565185 :
Kma hujaeta toka nyote mnatuma sms hamjapata la kusema
2026-07-26 06:56:33
2
Raidhan :
Allah amsamehe makosa yke ni mwislam mwenzet pia nimesoma nae darasa moja forodhn tumtakien dua na cc hatujakamilika tusimuhukum mtu tumwachie ALLAH na kaz yk
2026-07-26 06:56:17
4
Miymah :
Janat fardus??
2026-07-25 18:58:46
4
user9266118709269 :
MUNGU AMSAMEHE MAKOSA YAKE AMPE KAUL THABIT.. JAMANI MTU HUTIWA POPONI KWA REHMA. SIO VITENDO KUNA MASHEHE TELE WASHQKWENDA MAKA NA MADINA NA WANAKWENDA MOTONI. TAKE CARE BROTHER KAMA UNA WATOTO UOMBE HATMA BRO WE SIO MUNGU .BRO..MUNGU AMALAZE MAHALI PEMA PEPONI AMEEN.
2026-07-25 17:57:36
2
ras_beautycollection :
tushawapa nchi ccm sahivi hawana huruma na sisi walikuwa wakitupa mafuta kipindi Cha siasa sahiv wanarudisha pesa zao ccm hawana uchungu na sisi
2026-07-25 16:22:00
3
💃SHUFANI😎 :
allah amlipe kile kinachostahiki kulipwa
2026-07-25 20:48:57
1
To see more videos from user @mpemba.001, please go to the Tikwm
homepage.