@daniely5687:

Daniely
Daniely
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 10:20:29 GMT
133192
8460
461
1107

Music

Download

Comments

msanjalaone
msanjala finnest :
duuuh wagiftishe
2026-08-22 21:49:41
0
innocentshayo86
Hushpuppi01 :
wagiftishe Tecno Y3+
2026-08-21 22:11:31
0
hareth906
Hareth🥰💕 :
duuh namkumbuka mama angu jamani ukifika mda watangazo ananiita ila sasa hayupo tena 😭😭😭😭
2026-07-31 13:19:24
208
user6590934654166
bloodness tick :
Christmas hiyoooo @😂😂
2026-08-22 14:20:07
0
classicjewell1
Shazza store :
haya wazee wenzangu walioimba kama mm weka like hapa
2026-07-31 04:35:54
206
veeny.mniko
Vero mniko🦋 :
Daaah kitambo nicho naenda mafundisho njia nzima nnaimba mpak kanisani😂😂😂
2026-08-22 12:27:36
27
maah5699
Pick Princess💃👸 :
nilkua primary😂😂
2026-08-21 10:02:19
0
its.marym42
it's marym :
wagiftishe
2026-08-21 08:56:35
1
mafwele7
Mafwele7 :
wagiftishee😂
2026-08-22 20:46:58
0
patriciamooh
Patricia Mooh :
Nmekumbuka mbali sana namkumbuka baba ang akiwa anaangalia taarifa ya habar likianza lazma atuite watoto wake tuimbe 🥲 hapo tunajisikia raha tunasubir nguo… mungu amlaze mahali pema baba ang mzazi 😓😓
2026-08-21 11:00:29
28
user90936787748771
💦pajika🦋🥰 :
kitambo 2015 nlikua nlipenda ili tangazo
2026-07-31 19:59:52
35
mylifemypurpose
Golden value :
2017 hiyooo😂😂
2026-07-29 19:25:18
13
nessqeeen
witty 🌹 :
jina la wimbo plese
2026-07-31 13:18:01
11
sanny.cute1
Sanny cute :
Umenikumbusha mbal sn yani nilikuw nikiskia tu hy tangazo lzm nisimame kwanza mpk iishe 😂😂
2026-08-11 18:52:23
9
jasmin58055
smie💞 :
nimemaliza nyimbo nzima nabado nipo kwa baba na mama😁😁
2026-08-10 18:31:13
8
shufaasoma
Shufaa Soma :
ilikuwa nikiiskia navurugwaa naipenda kuna sku ilinivirugia swalaa ya inshaa niliiskia akat nasalii nikajikuta naimbaa
2026-07-31 19:31:25
7
mbissejr_08
Mbisse jr ⚽️ :
kadiri miaka inaenda , furaha inazidi kutoweka mioyoni mwetu na watu wetu wa karibu wanazidi kuondoka🥹🥹 tumebaki na furaha bandia
2026-08-08 14:26:42
9
lucymachumu609
Lucy💕 :
wagiftishe kwel enzi hiz mmefunga shule mnakaribia kukaribisha Christmas 🌲
2026-07-25 18:14:03
6
mkanada9
𝑯𝑬𝑨𝑫𝑨𝑪𝑯𝑬 𝑺𝒀𝑩𝑶𝑮𝒀 :
hii nyimbo 2015 kipind ambcho sijuh kama watu wanakufa wala mapenz ni nn😁😁 nlikua namjua mungu na elimu yangu pmoja na kujivunia uvulana wangu😁
2026-08-06 06:34:36
8
jivakxhxj8o
JivakaS :
uwiiiiii had nimetaman kurud utoton. kumbe lilikuw ni tangazo 🤣🤣🤣 me nilijua ni wimbo wa kukumbusha kuwa sikukuu imekaribia tujiandae kula wali wa funga mwaka
2026-08-19 05:27:23
7
user1505596133768
wizy masterjr :
tulioimbaa mpak mwisho kam mmi🤣🤣
2026-07-31 19:32:03
6
hoisi820
💕💗hoy🌹🌹 :
jmn nimekumbuka 😅😅😅😅😅😅nilikuwa mwimbaji maarufu
2026-08-12 18:44:00
2
user46067916394265
Chimbo 12 :
nakumbuka Clouds jamani daaaa😂😂😂😂
2026-08-13 19:09:12
1
stefhan.azizki
Bui bui bin daruesh 🐓🎤 :
dah ulale pema marehemu mama yangu dah 2015 iyo dah naomba niliye kwa yote yaliyo nikuta kumpoteza baba na mama mlale pema hili tangazo limeni fanya niwa kumbuke tena😭😭🤲🤲
2026-08-20 05:46:29
5
To see more videos from user @daniely5687, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About