Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@taphoavuiver: Mứt me thái thơm ngon #ănvặt #viral #creatorsearchinsights
Tạp Hóa Vui Vẻ 😝
Open In TikTok:
Region: VN
Saturday 25 July 2026 10:26:42 GMT
478
1
0
0
Music
Download
No Watermark .mp4 (
7.5MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
7.5MB
)
Watermark .mp4 (
7.78MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @taphoavuiver, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amefika usiku wa kuamkia leo katika Soko la Machinga Complex jijini Dodoma kufuatia moto uliozuka na kuteketeza baadhi ya vibanda vya wafanyabiashara, akithibitisha kuwa asilimia 99 ya moto huo umeshatibitiwa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Septemba 21, 2026, ambapo mamlaka mbalimbali za ulinzi na usalama zilihamasishwa haraka kufika eneo la tukio ili kuzuia moto huo kusambaa kwenye maeneo mengine ya soko hilo na kusababisha madhara makubwa zaidi. Akizungumza na wananchi na wafanyabiashara waliokutana eneo la tukio Mkuu wa Mkoa aliwasihi kuwa watulivu wakati huu wa taharuki na kuwataka kuacha hofu kwani hali ilikuwa chini ya udhibiti mkubwa. Mhe. Senyamule ameeleza kuwa zoezi la kufanya tathmini rasmi ya kina ili kubaini kiwango kamili cha hasara, mali zilizoungua, na idadi kamili ya vibanda vilivyoathirika litafanyika asubuhi ya leo mara baada ya uchunguzi wa awali na ukamilishaji wa uzimaji wa mabaki ya moto kukamilika. Aidha, ametoa pole kwa wafanyabiashara wote waliopoteza mali zao na kuhakikisha kuwa serikali ya mkoa inafanya kila linalowezekana kuratibu hatua za msaada na kuona namna ya kuwasaidia kurejea kwenye shughuli zao za kiuchumi. Mpaka sasa, chanzo rasmi cha moto huo bado hakijafahamika huku vyombo vya ufundi na ulinzi vikiendelea na uchunguzi wa kina ili kubaini nini kilichochechemea janga hilo. Hakuna vifo au majeruhi yaliyoripotiwa kutokana na tukio hilo la kusikitisha.
Okay rin pala.☺️✨
Don’t touch the bell! 🛎️
P ROUND2 #race #52genk #platktiniboss #fyp #fyppppppppppppppppppppppp
Call it a working experience and a business strategy. #marketingstrategy #outdoor #tent #fyp #nature
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy