@badawiy.media: HATARI KUBWA ‼️ Kupitia uchunguzi Ulio fanywa na wanafunzi na jamii Imebaini kuwa Baadhi ya masheikh,Maustadh pamoja na wanafunzi wao miongoni mwa MAWAHABI Wanatumia AI (akili bandia) Katika fatwa zao , Hili si jambo zuri katika dini na muache mara moja ‼️#millionviews #tiktok #trending #fyp #foryoupage

Badawiy Media
Badawiy Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 10:45:40 GMT
6337
392
24
19

Music

Download

Comments

user1811537731159
MAALIM HAJI :
sasa kama AI ipo sahihi katika kutoa dalili na huko Kuna usahihi zaidi Kuna ubaya Gani?
2026-09-19 22:09:48
1
hy.l.hms
Çhûî 00¹ :
tutajieni hata Sheikh mmoja wa kisufi mwenye elimu ya Hadith...?
2026-08-27 11:01:16
1
74.sheikh.ibrahim
sheikh Ibrahim Said :
a I imetungwa na binadamu,, lengo lake NI biashara... kwa hivyo ambayo watoa pesa zaidi ndio mafunzo na mwenedo wake utakua mbele....
2026-07-26 02:45:55
1
sugo3660
Sugow Farah :
Fatwa gani iliyotumika kwa njia ya AI 😂 Hebu tuambieni hiyo fatwa ya AI ili tulinganishe na fatwa za kutoka vitabuni
2026-07-26 09:43:13
1
al_azhar_tz
𝑲𝒊𝒏𝒆 𝒘𝒂𝒐 :
Subhaanallah 🙆🏻‍♂️
2026-07-27 09:01:26
1
mdutch60
mdutch :
subhanallah Allah atufanyie wepes
2026-07-25 10:50:54
1
ridwan.real.estate
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
kila mas'ala ua hadithi na fiqih utapa kuwa https://shamela.ws/
2026-07-27 10:46:18
1
abdallah.mwinyi83
Abdallah mwinyi :
hhhhhh we uliskia wapi
2026-07-27 14:32:20
1
5678fhvh7hjjjjjj89kv
الحجاز & جدة :
هذا شخص يستعمل كثير أحاديث ضعيف
2026-08-05 04:02:35
1
solo75442
Solo :
so mashekhe wa kisawa wako mambrui na Lamu?? kulojaa mashia??
2026-08-29 05:01:30
1
j_i87
j_i87 :
usufy na hadithi dhaifu bali maudhui ni kwao, issue za AI pengine ni yeye anaetumia, hata utadktur wake aliupata kwa AI maana hajafika daraja hiyo iweje apewe cheo hicho?
2026-07-31 16:47:07
1
user4940544868130
abuu abduli wahabi issa :
masalafi wakinradinjambo huwa wana weka ushaidi wa video au sauti aujina namaandishi wewe weka ushaidi wa izo fatuwa
2026-08-01 07:59:43
1
abuumuadh16
Abuumuadh16 :
katika sifa moja ya makhuraafi ni uongo
2026-08-01 07:25:18
0
haifatymohar
💞Haifa💕313💕 :
hao ni watu wa chatgpt 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-26 17:49:34
1
salzan96
سلزان♥️ :
yni hawa makhurafi kwel so wakwel wallah hivi kabla ya Ai ulikuwa huwambiwi km hadithi hii sahihi au so sahihi ikisha nimebaini ni makhurafy ni watu wa kubadilisha maneno huwenda ww ndo mambo yko kuliza Ai mambo ya dini Alhamdullah hakuna mtu wa sunna ambae aliekuwa hajishughulishi na ilmu hebu lete wanafunzi wako na ss wanafunzi wa Ahlusunna tuje ikisha tukae ikisha ndo utajuwa nani atumia Ai usiseme kitu ambacho so kwel mche allah
2026-09-19 21:35:07
1
user1811537731159
MAALIM HAJI :
AI SI NIMTANDAO TU KWANI KUNAUBAYA GANI, NYIE MASUUFI MCHENI ALLAH ACHE BALBALA KATIKA DINI
2026-09-19 22:11:05
1
To see more videos from user @badawiy.media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About