@unspokenties_podcast: UNSPOKEN TIES EP 08 @drkweka ameeleza uongo mkubwa uliopo kwenye jamii ni kuhusianisha imani za kishirikina na changamoto ya afya ya akili kwani watu wengi wanapokuwa na changamoto hii huamini mojaa kwa moja kwamba wamerogwa. Jamii inapaswa kuamini kwamba changamoto ya afya ya akili inatibika kwa matibabu rasmi na unaweza kupona kabisa au kuingia kwenye dozi ya kipindi cha maisha yako yote na wasiogope kwani ni hali ya kawaida kama ambavyo watu wenye u[pungufu wa kinga mwilini wanavyoweza kutumia dozi zao basi na wao wanaweza. Host: @sellamkisi Guest: @drkweka 🎥 @selphix_media Powered by: @sephil_sapphire_pride_castle @come_and_savegiftshop @comeandsave_decorationcenter Tembelea YouTube channel yetu ya Selphix Media uweze kutazama Episode kamili. Endelea kufuatilia @selphix_media kwa Habari Zinazogusa Elimu, Jamii na Burudani Zaidi. #unspokenties #mentalhealthsupport #SelphixUpdates #selphix_media #tiktokviralvideo

UNSPOKEN TIES TANZANIA
UNSPOKEN TIES TANZANIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 10:47:24 GMT
1085
57
1
2

Music

Download

Comments

jixxyjussy4
jixxy jussy :
dah jamani huyu dada mashallah✌✌✌ @Dr Kweka lini utatu train tena dtb
2026-07-28 09:22:33
0
To see more videos from user @unspokenties_podcast, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About