Umesemaje ?
Muwapeleke waanafunzi wakasome wapi ?
Huko kwa mazayuni ?
Gaza imetuamsha , imetuonesha na imetufunua macho .
2026-08-03 18:04:30
0
tonny tonny :
mashallah
2026-08-21 05:38:44
0
Kea Kea :
kweli TUSOMENI...
baarakallah fiik
2026-07-25 20:18:52
2
Salim :
mashallah
2026-07-26 08:50:38
1
ASAD :
mashalah
2026-07-25 13:57:55
0
badirilali :
hisabu zakuchelewa.
2026-09-18 11:45:46
0
Alafu Kabisa :
kweli sheikh.
2026-09-16 14:02:22
0
Mustafa Rajabu :
mashaallah shekh wetu
2026-07-25 12:15:05
0
Mehboob :
Mashia wataka hao wenye eilmu Kuwatia Kwenye ushia. Habari ndio hiyo.
2026-07-26 14:15:29
2
Mauro Zaratte :
mashaAllah hpo ndiyo tunaomba watto msiwaekee kikomo cha kusoma vitabu tafauti waecheni watafute ilmu
2026-07-25 21:01:17
1
Dr. Ibrahim Sospeter :
Mashaallah sheikh fikra nzur sana hiyo Allah atujalie Inshaallah
2026-07-25 12:08:06
5
Mahat Somane :
Madrasa ya kupambana na Ushia sio hhhhhh mtapata tabu sana
2026-07-25 18:30:55
6
Abdulghafuru Muhammad :
hamuwezi kuwafikia mashia,mashia wanasoma,wana Elimu kuwashinda
2026-07-25 13:53:51
7
maktabaoftimbuktu :
wangekua wanataka watu wasome wangejenga mashule na maktaba,hawataki kujenga mashule na maktaba kwa sababu wanajua waislamu wakisoma watajua ukweli na wataingia ushia kwa wingi.
2026-07-25 19:37:58
2
شهيد بكربلاء :
Labaika yaa Hussein.
2026-07-28 17:23:35
1
Adnani Ngungwipara :
na Bahati mbaya zaidi kila unavosoma sana ndio unajua zaidi kwanini shia wapo sahihi..
2026-07-25 19:36:33
4
user2111368119041 :
Umefanya utafiti kuwa ukisoma Huwezikuwa shia? Wasomi ndiyo Huwa mashia ,tafiti !
2026-07-25 14:04:01
4
TAHO M Group✅️ :
Mawazo yako mazuri sana shekh, sasa ili uwe shia lazima usome na ndio maana ukishaingia ushia huwezi toka kwa sbb ushasoma, hakuna msomi huru akaongea na shia kisha akabaki katika usaqifa wenu, na inshallah somesheni na sisi tunakuja huko huko kusomesha, acha miji ingae kwa nuru ya Mohammad wa aali Mohammad
2026-07-26 07:39:26
2
Tawhid Thinay :
kuumaliza ushia ni watu wasome vitabu vya kishia hapo ndio mutaumaliza🤣🤣🤣
2026-07-25 23:23:16
2
kebabs :
Ila ujinga ni kitu kibaya sana.
2026-07-25 21:27:47
1
Rajabu y nuran :
huyu sheikh kashambulia mashia Hadi kachoka
2026-07-25 21:08:14
1
To see more videos from user @abu.hamdan.alhamd, please go to the Tikwm
homepage.