@chanky.xela: kiboni

CHANKY MJEULI
CHANKY MJEULI
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 11:08:46 GMT
108342
4275
174
275

Music

Download

Comments

mwanahkhalfan4
mwanahkhalfan🌹💞 :
Ambao hamjaelewa kama mimi like
2026-07-27 08:05:34
66
ma.beauty35
fetty hinna😘 tegeta :
wange mpelk hospital huend malaria ymepand kichwan then wangalia utaratib wakumsaidia man maish yna mamb meng sana
2026-07-27 07:17:49
33
zawia745
haurah🌺 :
subhallah pamoja na yote bado anaimani na mungu na anamjua
2026-07-27 07:05:03
39
swalehabdulrahma5
Swaleh Abdulrahma575 :
Mungu amsaidie maana sio yakufarahisha🥺🥺
2026-07-27 04:17:57
12
misasaid01
Naila🧚‍♀️ :
Tusifurahie maisha yana changamoto nyingi nyie acheni tu
2026-07-28 06:26:33
11
fatmakuwasa
Fatma Kuwasa :
daah huyo kaka amenitowa machozi amenikumbushiya kaka angu alipagawa alikuwa anaongeya maneno kamahayo aisee inaumasana kumuona nduguyako akiwa kwenyehali kamahiyo
2026-07-28 06:07:59
20
user5516103007398
jumaaMartin14 :
Allah amnusuru na kumuondoshea madhila haya na amrejeshee ufahqmu wake insha Allah always kuli hali🤲🤲
2026-07-27 07:59:46
10
rashid89591
rashid :
jambo kama ili linafuraisha akiwa sio ndugu yako lakini akiwa ndugu yako inaumiza
2026-07-27 06:05:26
32
mrs.z_mushi
Mrs.Z_mushi :
Yaallah mshushiye uruma yako yaa rabi😭
2026-08-18 21:16:08
1
mainapasito0
Mainapasito cosmetics :
😂😂😂Ila Zanzibar
2026-07-28 04:03:40
1
the01cute
the1cute :
depression is real 😳😳sio funny
2026-07-27 18:43:10
3
mikonosalama53
mr 🇹🇿🇹🇿 :
daa kuchanganyikiwa nihatari sana
2026-07-27 08:08:36
6
rishamapozi4
rishamapozi :
dah uyu amelogwa jamani 🥺 muangaikieni atapona
2026-07-29 12:26:03
3
dreamgal301
Dream gal🍒♥️ :
Sijaelewa Kafanyaje maskin 🥹
2026-07-27 12:35:32
6
almoney.de77
almoney de77 :
elewa itafuteni Sanaa Dunia ,Allah mkubwaa
2026-07-28 13:12:20
4
gongwe01
Ayshaa :
Mwenyez mungu amjalie apone
2026-07-27 06:56:45
7
mrszacha1
Mumy Kareem&Raheem :
😳😳😳Duuh
2026-08-12 21:04:56
1
muznahmganda
Muznah Mganda🌺🦋 :
dah🥹
2026-07-27 12:11:06
3
dmx2425
DMX :
Allah amjalie apone haraka.
2026-08-05 20:11:40
1
bella.bella2110
Rose 🌹 :
afu hii hali sahv mbona inakuja kwa kasi sana kwa watu wengi
2026-07-29 22:44:48
2
carrasco.nation32
Carrasco Nation :
Anachekesha kama sio kaka yako
2026-07-29 12:08:24
3
allymdee7
ally mdee :
chiz anachekesha kama atokei kwenu...Allah amfnyie wepes awe sawa
2026-07-29 13:10:42
4
undewanikid
SOMALIAN SK🇸🇴MADO :
dah ndugu yang shamimu alilogwa jamaa anamali
2026-07-28 18:57:57
2
salmafundi396
Salma Fundi :
mungu atamsaidia
2026-08-05 07:10:59
1
To see more videos from user @chanky.xela, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About