@mizolove0: Jaman msimtoe uyu😭😭#swihilitiktok #trendingtiktok #tiktoktanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryou

Mizo_Love🐼❤🍄
Mizo_Love🐼❤🍄
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 11:12:01 GMT
212912
11856
603
767

Music

Download

Comments

kidoth4
kidoth 🌹🌺 :
nataman kucheka sema ndan kwang kuna mbu watajua niliko😂😂
2026-07-25 15:56:25
482
salum.kambongo
Salum Kambongo :
utaua kaka
2026-07-28 10:38:13
0
chimamy.issa
chimamy issa :
Jaman msiende fb watu wanasafishiana picha😂😂
2026-07-26 14:58:26
108
iliham.ramadhani
iliham ramadhani :
🤣🤣 nachoka me
2026-07-26 19:38:17
0
zuuhsamo
Zuuh_Samo..💞🧕🏻 :
Mm nachoka jmn..😂😂🤭
2026-07-27 12:02:10
1
naomi.hassan60
NaNa🦋🦋 :
usije chana marinda jamani😁😁
2026-07-25 11:31:05
101
luce900
@official Luce 🦋🦋 :
hata usipocheka uzuri Mungu anaangalia roho 😅
2026-07-25 18:06:17
78
fahma.ramadhani2
Faymah ♥️♥️mu.. :
yaani bongo. hata kama uwe mgeni. hata aupotei.
2026-07-25 18:52:48
61
dear.apple_03
Dear_@pple🍎 :
kwani kujitoa tanzania unabonyeza ngapi ngapi vile
2026-07-26 10:53:37
23
missammanaly
miss💞Ammanaly🌹🥀 :
Hahhhaahaha nimechekaa mpk mbavu zaumaa😂🤣🤣🙌🙌🙌
2026-07-25 16:26:03
13
aisharam97
AISHA🥰 :
😂😂😂😂😂 Minacheka bwana mtajua wenyewe uko 😂😂😂
2026-07-25 18:43:47
16
matei.zephania
10🕊MATEI🫟 :
hii nchi itakua imetoboka
2026-07-26 19:07:30
5
sumaiya.said1
mrs said💋 :
acha nibaki tu tik tok kwanza mana hii wiki yote face book wanasafishiana picha
2026-07-26 16:31:55
8
tarshmar
tarshmar :
😂😂😂😂kuna mtu kasema anaogopa kucheka mmbu watajua alipojifcha 😆😆😆
2026-07-26 17:25:33
11
purrith1
Blessing🍓 :
wananchi chukuen hatua yenu😂😂
2026-07-25 18:26:50
9
shazi.rashidi
Shazi Rashidi :
naic hii NCHI Kuna sehem imetoboka
2026-07-25 18:40:40
7
ladychdgd6t
lady chady💴❤ :
Nmecheka adi nmetaman hii video niiweke walpaper😂😁
2026-07-25 18:09:41
12
hafsaidy
hasu cute :
nilitak kushangaa watanzania wasiruke nay hii😂😂😂😂
2026-07-25 15:34:16
8
user3542777328125
mwanaa🇵🇸 🇮🇷 :
ila hua ni kichekesho kama sikilio chako haijalishi mja atalia vipi kwenye tatizo lakini kuiga msiba wa mwenzio kama kichekesho sidani kama nisawa
2026-07-26 15:31:22
9
cuteface307
cuteface08🥰🥰 :
ijawapita na hii😂😂😂😂😂
2026-07-27 10:11:41
2
sushmasuu490
sushma sushma :
yan jaman nimecheka adi nikashindwa hahahah
2026-07-26 18:03:03
2
mymzurinaa
Babe sham❤ :
Hahahha uyo wa uko juu akidondoka
2026-07-28 17:00:40
1
To see more videos from user @mizolove0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About