na hiyo gari iliyo pita mjomba yangu alikuwa nayo ilikufa mwaka 1992
2026-07-26 02:25:27
0
KHA<&> A06 :
ni follow
2026-07-25 20:30:48
0
maryam Ahmed :
wakati huo naukumbuka vizuri Zanzibar ilikuwa shuari sana na watu walikuwa kidogo sana tofauti na sasa hivi na nchi ilikuwa safi sana karibu maeneo yote ya mji mkongwe
2026-07-26 02:24:02
0
Mrs nofel :
mashallah, aitunze znz Kuna watu watanan leo jina lake lisidike
saiv kuna znz au vurugu tupu tunatamani irudi znz ya zamani mji umevamiwa
2026-07-26 04:03:03
0
ALLY_ZNZ :
KWANI HAPO PAMEZIDI NINI NA KUMEPUNGUA NINI KWA SASA HIVI ? NAONA WATU WANAPITA NA MAGARI YAO (BASKELI ZAO) KWA WAKATI HUO NA HAO WALIOZIMILIKI KWA WAKATI HUO NDIO WALIKUWA NDIO MATAJIRI WETU
2026-07-25 20:40:49
1
Bb2002code :
korokoro izzo
2026-07-25 17:06:30
0
Khadija Dida :
Hapo mulipokua wanati pekeenu
2026-07-26 04:17:00
0
To see more videos from user @remember.past2, please go to the Tikwm
homepage.