Na doctor ukichelewa kazn, unaitwa kwa HR mwenye diploma ujieleze
2026-07-26 04:17:55
158
kipanta clan :
kwa nguvu ya HR gonga like ya nguvu💪 apa
2026-07-26 09:50:52
138
MJ brave :
usijaji mtu anachosoma Kila mtu ana malengo yake 🙏🙏🙏
2026-07-25 18:07:28
52
mamzy👻 :
ndugu zangu kama umepat fursa soma tena soma san kil mtu ana rizki yake usifate mkumbo😊
2026-07-25 18:27:00
32
Dadi collection tz :
Ila ndio kiungo muhimu kwenye Tasisi takriban zote na bila hr kaka ajira meyo na ukiingia kazini kila siku utakuwa unakimbia sa moja uwahi ofisini mana ukichelewa unakesi ya kutokuwa na nidhamu yeye akupe mshara kiukweli lazima ukutane naye huwezi mkimbia HR