@imma..mining: Migodi 6 inayoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu Tanzania. Je, ulikuwa unaijua yote? Toa maoni yako na usisahau kufollow @Imma Classic kwa taarifa zaidi kuhusu madini. #goldmining #𝐟𝐫𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲𝐲#nyamongo#kahama#katorogeita #explore

𝐢𝐦𝐦𝐚 mining 🦺💎
𝐢𝐦𝐦𝐚 mining 🦺💎
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 11:49:48 GMT
60295
1301
85
76

Music

Download

Comments

kulwa224
jk :
but ore grade ya nyamongo ni kubwa kuliko geita . kwahyo geita ni kinara ndyo ila kwenye gold ore grade ipo chini ukilinganisha na north mara
2026-07-26 07:28:19
2
dogo_ezee...1
𝗗𝗢𝗚𝗢 𝗘𝗭𝗘𝗘🔥STAR BOY :
daah kumbe north mara imezidiwa mbali na geita
2026-07-25 11:55:48
3
baziri.mtima
NO WAY :
nyanzaga inafata barrick
2026-07-26 15:56:56
0
maovashi
[email protected] :
Pamoja na takwimu hizi kwenye sekta moja tu ya madini, lakini bado taifa lina daiwa deni kubwa tu. Na hamna maendeleo yanayooneka moja kwa moja
2026-07-26 08:17:13
1
kelvinjuma87
Kelvin_jnestory :
sasa mbona sisi ni maskin
2026-07-26 08:30:18
0
legendaryvboyman
LEGENDARY :
ashanta mine
2026-07-25 19:56:47
1
khanbifnjimeji
Khan Bif Njimeji🇹🇿🇹🇿 :
hapo vipi 😃😃😃
2026-07-30 18:20:08
0
user1960127092313
kaka :
ima
2026-07-28 19:55:18
0
the.big.one742
THE BIG ONE :
Sijaiona SHANTA MINING YA HAPO SONGWE😁
2026-07-30 21:55:04
0
lameckslyvestar22
lameck062 :
zina zalisha ivo kwa mda gan mwaka au kila mwezi
2026-08-04 09:55:19
0
user16835391431105
user16835391431105 :
mishe zangu hizi
2026-07-26 06:00:29
0
pavister
key family :
kaka no moja ni bulyanhulu inafatiwa na GGM
2026-08-03 19:38:11
0
alp.njigo
Alp Njigo :
Kwamba Buzwagi hamna
2026-07-26 08:48:08
0
user6865945846334
Steve sahani :
acheni huongo basi izo data mmezioata kwa reffence ipi
2026-07-26 14:12:42
1
abdullatifwal
abdulatif :
nyanzaga vip
2026-07-25 23:20:05
0
maryam46203
maryam :
asante
2026-07-25 11:58:54
0
babanefes
Baba nefes :
Dhahabu haizalishwi
2026-07-26 06:30:14
0
kulwa224
jk :
Kwa nyanzaga kuanzia January 2027 .itatupa piga kamili japo Kwa Sasa wapo kwenye development stage na uzalishaji pia Kwa open pit or open cast(OC) .japo inasemekana ni itakuwa super pit ambayo haijawahi kutokea tz acha tuone
2026-07-27 09:50:33
0
mikindobugozi
ENG BUGOZI :
KAZi VP mkuu
2026-08-27 11:33:20
0
valeriankashindye
Valeria A@K :
linakuja hilo la nyanzaga mining komesha ya migodi yote bongo
2026-08-19 15:26:13
0
john.magalata
John Magalata :
nyazaga hamna moo
2026-08-06 13:34:25
0
kacheboo
Julius :
na makinikia
2026-08-05 17:51:54
0
pavister
key family :
xaw angalia mapato ya mwaka xio historia kihistoria xaw ila wakat ulipo no
2026-08-04 09:32:47
0
philbertjoseph285
simigo :
kuna nyanzaga
2026-08-02 09:17:57
0
user27840411974737
Charles :
mm. pale. nimefanya. kaz. madin. yakutosha
2026-07-26 12:02:33
0
To see more videos from user @imma..mining, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About