KIUKWRLI MM NIMESHACHOKA KABISAA NAMTUMIA MTU MSG NDEFU YY ANAKUJIBU KWA MKATO NIMEONA BORA NIANGALIR MENGINE TU NIMECHOKA
2026-07-27 04:15:50
29
jamesjimmyjosiah8 :
broo wewe katika watu wengi nimefatilia saikolojist wewe ndo umeweza kuniongelea mimi appreciate you but sometimes hatueleweki Tunabaki kujipenda na Kukuthamini coz kuanzisha mahusiano mapya everytime sio vitu vyetu Kuna muda hatuhitaji mpenzi,baby, sweetheart, Kuna muda unafika tunahitaji mtu sahihi wakupiga nae hatua nakufanya maisha na hiki kwangu ndo kipimo kwa mwanamke kwanza unapima uvumilivu na reaction zake kwangu kwamba anaelewa ninachokifanya kwasababu yake but I don't know akiamua kuondoka unamuacha aende japo utapita muda kidogo mpaka kupata mwingine ataekuelewa..🙏🎧
2026-07-25 23:55:58
68
Bravoo✌️ ✝️ :
Ifike mahali wanaume tujipende kwanza🙌tunajimaliza sana
2026-07-26 18:57:58
35
JackieMa :
Sasa ye analalamika ivo Ila m ndo taar nampenda mwanaume mwingine jmn nifanyaje ??
2026-07-27 18:06:44
5
modiddy41 :
Daah nisiongee sana. 🤔
nimekuja kugundua wanaume huwa tunaumia sana kuachana na mwanamke tunae mpenda walah🙏
2026-07-26 17:08:30
17
Judy :
Analalamika tatizo ni kuniomba pesa Kila mara...nimechoka mimi
2026-08-10 14:37:07
5
Samwel Urioh :
:nlitamani hii aiyone dem wangu na awe ananielewa😳