@kadoyecomics: TANZANIA: HECHE AWATAKA WANANCHI WOTE KUPIGANIA HAKI, "WANAFUNZI NA MWALIMU WAPEWA KESI YA UGAIDI, KILA MTU ATAFIKIWA" Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche leo Julai 25, 2026 akizungimza na Waandishi wa Habari jijini Mwanza amewataka Wananchi wote kupigania haki kwa sababu kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake akitolea mfano wa Wanafunzi pamoja na Mwalimu 'waliobambikiwa' kesi ya ugaidi, amedai wakati Lissu anakamatwa na kupewa kesi ya uhaini walinyama. Aidha, Heche ametoa wito kwa serikali kuacha 'kubambikia' watu kesi badala yake wawaachie ili waendelee na maisha yako kwa sababu kupigania haki si ugaidi.
Wananchi ni waoga na wanaogopa kupewa kesi ya uhaini na ugaidi
2026-07-25 14:23:44
16
micky msafi :
Kaka unapamban san du inaumiza san tup na ww
2026-07-25 18:38:57
17
pascocomedy 0 :
tupambaninie hili jamani tusilale jamani hii hishuu ishakuwa kubwa maana siku Hadi siku ndio inazidi jamani tukiogopa kufa tataisha jamani
2026-07-25 18:14:41
4
darbini kari :
kwaiyo kama mtu anakamatwa kabla yakujua kosa lake tuanze kupambana na serikali KUTAKUA na nchi au Acha kupotosha
nakubali kutokaa kimya Kwa mambo yasio na kweli lkn lazima tueheahimu Sheria pia
2026-07-25 19:30:06
0
mdudu :
ni kweli kabsa 😳😳
2026-07-25 14:51:29
7
GM score :
hawajui waelimishe mkuu👌
2026-07-25 18:21:56
2
mgunda finest🙏 :
kwel
2026-07-25 13:35:52
6
mokela :
mwachieni huyo mwalimu muliyemkamata. university is a free institution. wale wanafunzi ni watu wazima na wenye uwezo mpana wa kufikiri.
2026-07-25 18:38:53
2
Elijah chazzy :
Dahhh to 🙏🙏🙏
2026-07-25 18:22:13
2
Debora Zabron :
walumu wafanye maamuzi make wao ndo wasimamizi wa kula
2026-07-25 18:19:49
3
user8625843804995 :
safi sana baba unongea maneno yanayo tugusa
2026-07-25 17:56:47
2
Erick kalolo :
heche wewe usalama wako vipi
2026-07-25 17:37:36
2
Dada :
mmmmmh.Mungu atusaidie
2026-07-25 17:23:53
1
Alimandojqd Pastor :
ameni...!
2026-07-25 17:12:58
1
Sam The Analyst ⚽🏀 :
heche tulia Kuna siku watu watatoka bila kuwahamasisha wenyewe watatoka
2026-07-25 19:47:53
0
Tufugeme malolo :
yaani mmepata Cha kuongea chadema
2026-07-25 19:28:31
0
Blackman :
tukimuunga heche mikono kama watanzania tutalinusulu taifa letu
2026-07-25 19:34:21
0
big seven 7 Dalali dodoma :
umeeleweka
2026-07-25 20:31:38
0
Rama Jr :
wanangu wa UDOM tunakwama wap?
2026-07-25 20:02:37
0
user7273754865928 :
ambacho nasukulu tu mimi saiv mnasema na tunasikia ila angekupewepo BABA yangu JPM mngekuwa kmy nakukumbuka sana BABA JPM
2026-07-25 19:57:53
0
Fadhil Zakaria :
mungu akupe nafas zaid
2026-07-25 20:23:44
0
Golden Kaka :
daah
2026-07-25 13:09:05
5
To see more videos from user @kadoyecomics, please go to the Tikwm
homepage.