nikikumbuka remmie ongala ..... moyo unatulia sauti ya ninga...... mziki wa vijana wa Jana. ukisikiza miziki kama hii unaweza kaa miaka mingi bila kuoa...
2026-07-25 15:03:48
1
Salehe Hoza :
naomba namba plz
2026-08-07 02:57:53
0
Sauti ya MTALE :
yangaaaa
2026-08-08 11:25:35
0
Chris :
sipendi rhumba, napenda wewe
2026-07-26 16:20:51
0
Africa Queen :
natakaga kuweka nywele yangu hivi rough but nashindwa
2026-07-25 14:58:39
1
Okoche Jk :
asili ya music ni wapi
2026-08-09 18:37:03
0
kevin kalama :
masaa niya majioni ukisubiria turungi na kaimati za amsini😂😂😂🥰.
2026-07-25 14:13:22
1
Martin :
cheza hio afro karimi
2026-08-06 08:44:08
0
Jack001 Mercy :
Hatutaishi sisi niwapita.....😁😁😁😁
2026-08-10 14:36:39
0
Kinaraa :
Haijalishi kenye iko kwa glass bora ni liquid, we marinate🤣🤣🤣 Na uko veeryy🥰😎
2026-08-05 19:42:42
0
abuubakarykisheos :
et vinapenda singel na amapiano 🤣🤣🤣
2026-08-11 17:20:18
0
Salehe Hoza :
contact plz
2026-08-07 02:57:21
0
Mombasa :
rumba pole pole ni tamu
2026-08-03 18:04:52
0
To see more videos from user @lindatedd, please go to the Tikwm
homepage.