Mimi sio msomi, ila nina mpango wa kuhama na nimegoma kutoa tena kwasababu hawafanyi kile tulichokubaliana ni bora kwenda mahali penye utaratibu kuepuka laana bure 🙏
2026-07-25 17:53:21
10
La Lu :
Hii sio kwa wasomi tu, sema wachungaji wengi wanatutishia tukihoji.
2026-07-25 14:58:47
9
DON MENDEZ :
Nilipeana hela juu ya mic za kanisa lkn hazikununuliwa nikasema as long as mungu anajua nimetoa inatosha lkn nilihama kanisa😂
2026-07-25 17:43:13
3
Recho Mabina :
nakumbuka nilihoji kuwa led kapeti mbona hatuioni weee mbona nilihama bila kuhamishwa picha linaanza nikasimamishwa kushiliki mambo ya kanisan nisihusike nikifika kanisan nikae back bencha sadaka nisitoe nilishindwa nikahama dadek wachungaji wengi wao wanajijali wao nasio waumin wengne wakati mtu anapotoa hiyo hela kwaajili ya kitu kanisani mtu anatoka kaiombea kwaajili ya hiko kitu ili na yeye apokee mibaraka ila wachungaji wengi hawajali na tena huwa wengi wao wana kauli ya kusema kwamba hawana kazi kazi yao nikuwahudumia wakristo
2026-07-25 17:09:45
7
TRAINER AND PROJECT CONSULTANT :
kama mtu anajiita mchungaji sio mwaminifu huyo sio mchungaji ni mfanyakazi wa dini. kuna mchungaji mmoja wa kanisa la FPCT kivule nilianza kusali kanisani kwake baada ya MUDA tulipanga appointment karibu mara mbili hivi akaivunja baadaye nikaamua kuhama kanisani kwake baada ya kuona ana ubabaishaji, mimi ninavyojua KUOKOKA ni pamoja na kuwa mwaminifu kwenye matumizi ya MUDA, miadi na ahadi unazoweka kwa Mungu na kwa WATU. baada ya miezi kadhaa akanitafuta eti amejisikia kuniombea hakujua kwamba mimi ni mtu nisiyeshilikiana na mtu yeyote iwe kwenye mahusiano kanisani au kazini
2026-07-25 18:38:46
4
I am back :
Kuna sehemu X nimehamia kikaz, sasa kwa mara ya kwanza naenda. Nikakutana na tangazo la mchango flan wa Fedha, Sasa Paster kuna mda anakazia tangazo, then akasema " Mtu asipo toa huu mchango, nitamsimamisha ( tutamtenga na ukristo)". Nilijiuliza sana, inakuaje hii, je! asiye jiweza atasemaje?
2026-07-25 18:13:49
4
Festo Mwakagenge :
kaka kufatilia mchango nilazima ila sadaka ndo haifatiliwi.
2026-07-25 18:44:59
3
Marylucy :
sio tu sadaka hata tabia za wachungaji zinafatiliwa,nilienda kanisa Moja,engo ni kuwa mshirika ila nilichunguza mwezi tu nikapote,walitangaza maombi ya kufunga na kuomba,nikaenda kwenye ibada mtumishi akasimama akatangaza "mchungaji hayupo nae amepata dharura ameenda k/koo ila atajiunga ila kabla hatujamaliza atakua amejiunga nasi"mpaka tunamaliza hajafika,natoka namwona kwenye boda amepakia nondo zake anapita km havimuhusu😔,alafu mzee wa kanisa anaomba simu inaita anatoka nje anapokea anarudi tena mara kwa mara
2026-07-25 18:09:15
2
Mgendi :
Ni vyema umeweka wazi Mtumishi wa Mungu ubarikiwe☺️
2026-07-25 19:54:26
1
Asajile Anyitike :
shida ukihoji wanasema muasi.
2026-07-25 21:17:46
1
Andoflex...🎃 :
asa Kwann usifanye ulicho kizungumza watu hela wanapata kwanjia tofaut tofaut sana
2026-07-25 20:26:33
1
Odeba Obeba :
hizo tabia zaruhusiwa isipokuwa kusita kutoa sadaka
2026-07-25 13:35:26
5
Nicolaus_G_Simsokwe :
SADAKA YA YULE MAMA MJANE NDIO ILIMGUSA MUNGU KULIKO ZA WOTE,,,KWANINI NI KWA SABABU YEYE ALITOA KILICHOBAKI AU CHA MWISHO LAKINI WENGINE WALITOA KILICHOZIDI.....Siri ya kufanikiwa ni kumtolea MUNGU na sio Wanadamu.. MUBARIKIWE 🙏🙏
2026-07-25 19:49:08
1
Apolinary Mungai Msele :
Sasa unafuatilia nini? Wakati hata akitumia vibaya hakuna mahali anawajibika maana kanisa ni la kwake binafsi, yeye ndio kila kitu hapo kanisani.
2026-07-25 15:10:09
2
Oscar Rafael :
uongo uo
wasomi kwanza wako bize na life wao ukisema mchango chap tu anatoa na Wala Hana mda uo wa kuuliza
Yani msomi mwenye ajira ake mshahara Kwa mwezi million 2 eti nitoe mchango wa elfu50 nikae nianze kufuatilia
iyo ni hoja ya kibaguzi tu
2026-07-25 18:43:31
2
GGM :
na hili sio suala la msomi tuuu Hilo Hadi Mimi Niko hivi haiwezekani mnatuchangisha pesa kibao imagine tunatafuta pesa ya ujenzi 100M tupo katikati mchungaji uchukue 5M uongezee biashara zako kwenye kuhoji kwanini pesa itumike tusivyokubaliana mchungaji anavunja kamati ya maendeleo na ujenzi wa kanisa tukiuliza akaunti ya kanisa vipi ... na bado hamtoi feedback yoyote mnataka tuendelee kutoa kweli 😂
2026-07-25 19:14:22
2
Mamyfaith :
Na wachungaji wanatumia andiko la usimzuie ng'ombe apurapo nafaka
2026-07-25 17:03:09
4
Secky08 :
alafu ndio ukweli 🤣
2026-07-25 18:09:08
1
Jane Altar :
mtumishi wa Mungu.ubarikiwe ni kweli kabisa.Uzuri ni watoaji wazuri wakijua wewe ni mwaminifu sana Kwa Mungu Kwa Kila kitu.Ukiwa smart KIROHO mambo ni shwari sana.Maana Mungu anakupigania Kila idara.wanafatilia pia Tabia.
2026-07-25 19:39:43
1
Oiro sisal makonge 0713559244 :
Ni kweli
2026-07-25 18:42:55
1
Dizzo :
nahisi nimimi kabisaa
2026-07-25 15:33:21
2
Samweli lugembe :
hilo siyo swala la wasomi tu peke yake ni swala la watu wenye akili timamu lakini pia mchungaji kwelikweli kama ametangaza mchango kwaajili ya ununuzi wa kitu fulani na hela ikachangwa kwanini umyuti na uitumie nje ya makubaliano ya michango kama aliweza kututangazia michango hazarani basi hatuna budi washirika kufatilia matumizi ya huo mchango
2026-07-25 19:23:24
0
Joel Ashery :
Mkiendelea kushauriana na kuisema kweli kama wewe Dunia nzima tutaokoka, maana wachungaji wengi matapeli, waumini wanatoa sadaka zao za dhati, lakn hakuna maendeleo ya kanisa hilo kulingana na makubaliano ya ratiba za kanisa...
SHIDA, Ukihoji sana Unafuatiliwa na kutengwa Kanisani🙌🙌🙌🙌..
Ubarikiwe Mtumishi🙏
2026-07-25 20:49:03
1
BM360 :
💯.hiyo inaitwa uwazi na kuwajibika kama kiongozi. fedha zina kanuni na hiyo ni mojawapo. haiwezekani ukabadili matumizi juu kwa juu halafu ukabaki salama. good content
2026-07-25 22:13:30
0
YONA MWALONGO :
nakuelewa Kuhani lkn hili sio kwa wasomi t hata kwa watu wanao jitambua pia huwa wanaonekana hawana ushilikiano
2026-07-25 14:35:20
4
To see more videos from user @official_kuhani_atson, please go to the Tikwm
homepage.