@mifugo_podcast: 🐄 UGONJWA WA TRYPANOSOMIASIS AU NAGANA KWA NG'OMBE. ✓ Huenezwa na nzi (tsetse fly) ✓Dalili zake huendana na dalili za magonjwa mengi ni muhimu kufanya uchunguzi kabla ya kuanza matibabu. ✓Ng'ombe wanaochungwa kwenye maeneo ya misitu na vichaka wapo hatarini kupata ugonjwa huu sababu maeneo hayo huwa na kiwango kikubwa cha nzi (tsetse fly). ✓Matibabu huhusisha dawa kama Diminazene aceturate, isometamidium chloride, na homidium chloride. ✓Safisha banda na ng'ombe kwa dawa za kuonyesha mifugo kupunguza nzi hatari wanaoeneza ugonjwa huu. #mifugotz #mifugo #ufugaji #ufugajiwakisasa #ufugajikuku
MIFUGO PODCAST ⛎
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 13:15:34 GMT
Music
Download
Comments
Leokei lopiliwa :
Asante
2026-08-24 18:43:51
0
user5861164086236 :
msaada dawa ya kutibu ng'ombe anayekojoa damu
2026-07-25 19:39:57
3
P h wa uzi :
kunatatizo langombe kama vile kukojowa damu inasababishanann
2026-08-10 04:46:48
0
Amani Kasisi :
Asante sana je natatizo la ng,ombe kuvimba chini ya mdomo
2026-07-30 14:19:07
2
mabuga :
nataka kunenepesha Ng,ombe wang dr
2026-08-08 06:45:31
0
Joseph Ngiisha Laizer :
na dawa hizo zinapatikana wapi?
2026-08-12 16:16:54
0
MR. MELKIORY Hhaaly :
dokt vp
2026-08-09 18:35:48
0
shadrack Sabora :
nini Kinga yake kabla ya kuathitika kwa ng'ombe dhidi ya ugonjwa huo???
2026-08-09 20:22:46
0
mwita2001 :
asante kwa somo zuri
2026-08-12 15:42:18
2
nguyeemmanuel :
Asante sana kwa somo zuri, huu ugonjwa umeniulia ng'ombe 4. Doctor anasema inasababishwa na kupe?
2026-07-25 13:31:33
1
edward steven :
Samahani doctor, naomba kuuliza, na tatizo la mfugo kujisaidia kinyesi kikavu kama kinyesi cha mbuzi. shida ni nini?
2026-08-08 11:39:56
0
kirwaha Thomas kizota :
huyo nzi si anaitwa ndorobo
2026-08-08 16:55:03
0
jamuhuri :
Asante sana je natatizo la ng'ombe kuvimba chini ya kitovu
2026-08-08 11:26:04
0
Kweka :
mungu akutangulie asante kwa somo zur
2026-08-06 21:17:53
2
Juma nkumbi :
kuna ugonjwa wa ng,ombe kutoa udenda mwingi tatizo ni nini
2026-08-09 20:50:42
0
Kipuyo Maningo :
ansante sanaa Doctolib
2026-08-07 21:03:56
1
Omary Juma :
nimeipenda
2026-08-07 20:10:22
2
P h wa uzi :
Naomba kuliza
2026-08-09 17:38:56
0
ngongoo family :
dokita nn dawa ya ugonjwa mbuz kusunguka
2026-08-24 16:47:26
0
Abdulkadir Dube :
ziko mingi Sana kwetu mi mfugaji
2026-08-22 06:01:56
0
paschal hakimu :
😁Asante
2026-08-21 13:30:00
0
ezat_ezat1 :
Hio gongwa lina tibiwa na dawa gani
2026-08-21 07:02:57
0
joseph abeljr :
nataka kunenepesha ng'ombe wangu wapo waaina iyo
2026-08-09 08:48:22
2
lowassa Jeremiah laizery :
dawa yak nni mkubwa
2026-08-21 05:04:18
0
user4247870246002 :
ni kweli tunaona kuna aina nyingi ya izi kwa mfano ,mpung'o ,ndorobo, niambie dawa nini?
2026-08-08 06:24:57
0
To see more videos from user @mifugo_podcast, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.