Me nilikua nalia Uku naosha vyombo naulizwa shida nini Mbona unalia Halima🥹ikabidi niseme baba angu anaumwa sana sina rahaa na moyo unaniuma sana Madame wangu a kanambia basi pole kalale ni km alinambia lia kwa sauti 😂🥹but Alhambdulillah nisha heal 🙏
2026-07-25 15:20:01
7
lovely girl♥️ :
🤣🤣
2026-07-26 17:46:31
1
Hossam Ke🥷 :
Bro, I like the way unajibeba kakaa,, Allah aabariki juudi zako na mwisho mwema kaka🙏
2026-07-25 13:38:49
4
afteyyyh :
😂😂😂😂😂 Leo zamu yako msaidie dada
2026-07-25 14:14:08
3
khairat6938 :
Ushaaa tendwaaaa mwanetuuuuuuu mbn sikuelewiiiiiiii na post 🤣🤣🤣🤣🤣