@chardtalent: Aibu utaona wewe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

ChardTalent
ChardTalent
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 13:38:49 GMT
144236
10649
481
851

Music

Download

Comments

herself_77
FINEGIRL🦋 :
Full respect family 😄😄
2026-07-25 14:35:54
147
ridaoficial7
Farrie Collection ✨️ :
Hemisphere alisema ni hamishaya 🤣🤣🤣😹
2026-07-25 19:23:03
186
punda.99
Elton Said :
very imperson potant..(VIP)
2026-07-26 10:54:48
40
lucky_officialtz17
lucky~boy17tz :
dj macky uyo😁😁😁
2026-07-25 13:45:29
55
momyeileen
momyeileen :
Gili from no weeeeee😂😂😂
2026-07-28 13:12:57
1
raphaelraphael591
Rapha :
HAMISHAYAAA🤣😂😂
2026-07-28 12:33:36
0
leticiamlengela6
Moreen🌹 :
deep down nataman utafsirii movie yote🤣
2026-07-25 18:17:43
34
naomi.alfred5
Naomi Alfred :
😅😅😅😅😅 huyu sijui tumuite dj nani
2026-07-25 14:33:31
20
zeddy_89
zeddy💕♌️ :
10/10
2026-07-25 19:26:41
5
elimu_yaulimwengu_wagiza
UFAHAMU ULIMWENGU WA GIZA :
Kuna vigezo na uwezo, uwezo hua ndani ya hatima yako uliowekewa na aliekuumba. Hupati kazi, ndoa, mtoto, fedha, nyumba, gari na kadhalika simply because vigezo unavyo ila uwezo huna. Huna uwezo kwasabbu umeibiwa hatima ambayo hubeba to be good at something tena sio good tu ni bestest than nobody. Tutarudi palepale kwenye upishi wa pilau, mtakua watano, mtapewa mahitaji sale ya pilau nyama, lakini kuna pilau moja litakua tamu kupita zote na kutakua kuna la pili na la mwisho. Ukiniuliza kwanini nitakuambia mahitaji ya kuolewa, kuzaa, kazi, fedha, gari, nyumba na afya havitoshi kukufanya upate vitu hivyo, je nini kinatakiwa kinachotakiwa ni uwezo aliepika pilau namba moja kwa utamu maana yake ana uwezo yani hajaibiwa hatima yake hata kama hatima sio upishi ila ipo na hatima ni unstoppable wala untouchable na dynamic. Kuna mtu hajasoma ila anakuzidi uwezo, na kuna mwanamke ana sura mbaya ila ameolewa na kuna mjinga mjinga ila ana nyumba, fedha na kila kitu ambacho wewe huna, ukiniuliza kwann nitakuambia huyo ameidhibiti hatima yake dhidi ya majangili. Badala uwe na vigezo we kua na maarifa ya kujua je hatima na nyota bado unazo? Kama huna pigana vita urudishe kwanza na hata ukimjua adui usimuue kwa hasira utaharibu mpige arudishe kwanza bidhaa zako kisha muue ingawa waweza muacha ili umuoneshe ujeuri utakua unajimwaya mwaya na mafanikio. Kuna wewe mwanaume umesoma lakini kuna mwanamke hajasoma ila amekushinda uwezo, mwanamke huyo anaongea kwa ujasiri, na anachapa kazi, hasahau sahau vitu, anajua nini maana ya kazi.... Na kama hamjui huyu atapemdwa na kampuni ingawa hajasoma kuliko wewe mwanaume uliesoma ila mbele ya watu unababaika(vigezov/s uwezo). Labda niwaambie ukweli, makampuni hayataki vyeti bali yanataka uwezo, ukipiga tathimini utagundua kua kwenye magesti, lodge, ofisi za serikali kubwa mwanzo ulikua unakuta wadada warembo, lakini sikuhizi unawakuta wabibi, au wamama wabaya ndio receptionist na hawatolewagi,waenda gesti mnajua ninachosema.Imekua hivi kwasabb wale walembo hawanaga uwezo ila wana mvuto na kinachotakiwa sio mvuto bali uwezo ulioko ndani ya hatima, lakini pia mteja hahitaji mvuto tu bali uwezo na unaweza ukawa na mvuto ila uwezo huna bas
2026-07-25 18:47:38
8
shedy_samm
Shedy_samm :
kama unaona uyu jamaa anajua gonga like hapa 🙌😂😂
2026-07-26 08:48:25
14
vanny.dalali.dodoma
Vanny Dalali Ihumwa Dodoma :
wasoma comment mi nawatombea kwa mungu mfanikiwe🙏
2026-07-25 20:38:48
8
bughestella
Ms Ella :
tangu corona ingie kuna mambo hayako sawa kabsa 😂
2026-07-26 19:11:15
2
user2299670515861
cecilia :
jamani tusome
2026-07-27 08:14:28
3
user5845147383421
💫princess naah✨ :
Nimechoka kucheka jmn😂
2026-07-26 19:13:48
1
user53731363501424
user53731363501424 :
mbn unamsem dj mack 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-26 13:02:48
4
eudiachiloya
Eudiachiloya :
dj chadiiiiiiiiiiiiii
2026-07-27 07:13:48
2
mwigakatumpula7
mryampate! aka mla njugu mawe! :
kiukweli huwezi kunikuta na cheki movie za kutafsiriwa
2026-07-28 17:33:11
1
official_nanag1
✨️ nana ✨️ :
tukilike tumekuonea 🤣🤣🤣
2026-07-26 09:48:42
2
phellyster22
phellyz🧡 :
jamani madj tusomee😂😂😂
2026-07-27 07:58:32
3
bukhayelisha
Elisha :
DJ chard full respect family🤣🤣🤣
2026-07-26 20:00:37
3
priscar169
Priscy🦋❤️ :
Dah nmecheka kama mjinga😂😂😂
2026-07-25 20:53:51
4
mina.michael929
mina 🌹🌹 :
yan ulivyo anza tuuh nimecheka kijan 🤣🙌
2026-07-27 07:22:50
1
To see more videos from user @chardtalent, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About