asante kwa elimu ya ufafanuzi. kuna watu wanazingatia AI zaidi
2026-07-25 15:16:49
1
breezy G :
hahahahahahahahhaahhaahaahahahahahahahhahhahaha
2026-07-26 12:20:45
1
Chairman White :
yaani ipo hivi unavyoruhusu akili yako kwendana na wakati ndivyo natural intelligence yako inavyokuwa sasa wewe tumia akili yako sisi tutumie AI tuone nani atabaki miaka ya zamani, ulishawahi kuziona wapi hizo graph reality maana akili ya mwanadamu hadi tuone ndiyo tu capture so AI kwangu ndiyo inaniongezea akili
2026-07-26 09:51:33
1
To see more videos from user @chrispin_vm, please go to the Tikwm
homepage.