@cleanwith_charan1207: 💥New💥domestos power active toilet rim block 💐🌷🌸 zinapatikana dukani💥 🌻Hizi rim blocks unaweka pembeni kwenye choo, ukiflush maji yanapita kwenye hivo vitobo na kutoa sabuni na dawa ambayo inakata harufu mbaya za mikojo kwenye choo chako👍 🌻Inaondoa na kuzuia michirizi/ limescale isijijenge kwenye choo chako.😘 🌻Zina harufu nzuri sana, choo kinakuwa kinanukia mda wote.😘😘😘 Karibu