@itstwishemelilwe: Dah Ila mapenzi💔💔. #tanzaniantiktok🇹🇿 #fup #relatable #kenyantiktok🇰🇪


Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 14:14:47 GMT
10044
357
22
101

Music

Download

Comments

easterndebby
Esther mruma :
yaan nikikumbuka nacheka alivyopekua simu kaona simcheat, akaamua kunambia nimevaa suruali itakuwa nimepewa na mwanaume, na sijuh ni yupi jmn mommy jeans ni zawanaume 😅 nikikumbuka nachekaga nikamblock.
2026-07-25 15:14:35
7
janvie75
😂😂 :
Mie nliambiwa hawezi kuendelea na mie kisa mie wakishua na wakati masikini mimi😅😅
2026-07-25 19:50:06
4
innocent.inno03
Innocent inno :
2026-08-02 09:59:00
1
dan.mk0252
wise man :
hapo kwenye ndevu mwangu 😁😁😁😁😁nacheka kama mazuri
2026-08-17 17:55:30
1
user0697273240
Muuh🌺🌺 :
me aliniambia kufikia kesho niwe nimesha kua kipotabo
2026-08-22 11:27:37
0
valencetibenda743
MAN TIZZO :
alinambh nimpe kitita cha sh afu 2 tukaachan
2026-07-29 09:26:03
1
snoooopdogg
Sᴺᴼᴼᴾ ᴰᴼᴳᴳ🚬 :
sijui kwanini nikilala na mwanamke anapata kazi🥺
2026-07-30 08:07:40
1
To see more videos from user @itstwishemelilwe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About