@its.bee31: #dvoice #kumbe #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪

its bee
its bee
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 15:27:54 GMT
137009
15713
634
562

Music

Download

Comments

asiagojaphet
Truth lost in time :
uko na sauti tamu sana be an artist you will go far
2026-07-26 19:55:44
5
itsdvoice
Itsdvoice :
UMEUWAA SANAAAAAAAAA🙌🙌🙌🙌🙌 WEWE NI STAR UJAEEEEEEEEEEEEE
2026-07-26 04:25:45
919
manfredy_998
manfredy998 :
ooooooh men i love it 🥰
2026-07-26 08:47:30
2
user9972998040602
bae_dollaRz :
pretty
2026-07-27 07:33:50
1
middle.six6
middle six6⚽ :
we nizaid ya Star 🔥
2026-07-27 05:08:00
4
userkpsof
KP SOFI 🦋🕸🦋 :
guys 🥹
2026-07-26 07:37:30
2
shadyashommy200
shadyashomari56 :
mashalhaaa
2026-07-26 07:24:42
2
ayishermsangi
ayisher :
unajuwa unajuwa hongera kipenzi nakupenda🥰🥰
2026-07-26 13:03:18
52
elah1378
elah :
Leo ndiyo nimeamini kabisa kwamba kulikuwa na sababu ya msingi sana Diamond kumsajili D Voice Wasafi. Huyu ni msanii wa kweli. Wimbo huu una ujumbe mzito sana; si wa kusikiliza tu bali wa kukufanya ukae chini na kutafakari kwa kina kuhusu mapenzi na maisha. Halafu huyu dada ameutoa kwa hisia na ubunifu wa kipekee, kiasi kwamba umeupa wimbo ladha mpya kabisa.😋😋😋😘😘😘🥰🥰🥰 Kama bado hujausikiliza kwa makini, urudie tena ukiwa umetulia. Huenda ukausikia kwa masikio, lakini ujumbe wake utaugusa moyo.
2026-07-26 08:05:05
66
frannyboy5
Franny Boy :
Mungu nipe uyuu awe ananiimbiya tukiwa kitandanii🥰
2026-07-26 21:26:06
7
cocoquit
Riri :
aliniacha bila taarifa😩😩
2026-07-26 05:27:59
37
ismail_msangi5
official big wiz🦅 :
🥰🥰 super
2026-07-26 08:39:26
5
ryzam_r
RYZAM📸 :
Nimeskiliza zaidi ya mara 10 nimepata na content ya kufanyia hii sound🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-07-26 11:58:32
31
amelyekahemela0
baby💕💕💕near💕💕 :
nimelia mimi nakupenda
2026-07-26 07:29:36
5
user6198006295245
Daud john :
Jaman kpenz unajua unajua Tena njo bas uniimbie
2026-07-26 18:24:18
6
hamisimkondya4
HAMISI MKONDYA :
umejuwa sana amini umenitowa chozi daaaah umeimba na moyo wangu 🥺🥺🥺
2026-07-26 09:02:55
5
dream99360
Dream🦋 :
Star wangu mm penda sana ❤️❤️❤️
2026-07-26 07:24:22
5
sheby.fakki
sheby Fakki :
daaa dada unaweza sana leo ndo nimeisikia vizuri hii nyimbo ongera pia kwa dvoice bonge la ngoma🌹
2026-07-26 08:22:37
11
tristern02
🖤🖤tristern🤏💫 :
sijui niseme nini ila we dada umejua kuniliza umeteka hisia zangu kwa sauti yako🥰 big up✌️
2026-07-25 19:55:47
6
meddybrown11
𝑴𝒆𝒅𝒅𝒚𝑩𝒓𝒐𝒘𝒏😍 :
dada samahn nweza jua jina la hili biti 🙏🙏🙏
2026-07-26 16:33:31
5
rama.fumbwe
rama fumbwe :
KALIIII🔥🔥🔥🔥
2026-07-26 16:53:31
2
sharonnkarara
SHA🥰🥰 :
mbona tunafanana ama shida ni macho
2026-07-27 06:54:33
1
edgegooh0
4🖐 :
ow sister umeua kinoma
2026-07-27 08:59:04
1
usertabora14
MISS--TEE🎀🤍🦋 :
🥺🥺mbon huko na sauti nzuri la mama
2026-07-27 07:47:07
1
To see more videos from user @its.bee31, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About