@kanikibrown: Brigedia Jenerali Mstaafu, Paul Mwakalambile Kabunda ameweka shoka kwenye mnara wa mashujaa, akiwawakilisha askari waliopigana kwenye Vita ya Kagera. Sikiliza wasifu wake ukisomwa mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika leo jijini Dodoma #WEWENIFAMILIA Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown “Endelea kufuatilia #Ripotawahabarizamikoani kwa taarifa sahihi na za uhakika. KWA MATANGAZO YA BIASHARA NA HABARI Follow kwa updates zaidi. Kuwasiliana 📞 0622 732 287 #kanikibrown”
Rest in peace my Father the RTD Major ambaye ulikua moja ya Askari wachache waliopata mafunzo ya Hali ya Juu ya Utalamu wa Kifaru na Recovery Nchini Urusi na ulikua mkufunzi 83RGT na Kitaifa na hata kutoa msaada pale maafa yanapotokea Kitaifa Upumzike kwa Amani Shujaa.
2026-07-25 23:24:32
2
Genesis :
Cdo🔥
2026-07-25 17:39:27
0
Bkz :
Salute
2026-07-25 16:56:18
0
Massawe Onesmo :
Mzee mkakamavu sana mwanajeshi ni mwanajeshi tuu🫡🫡
2026-07-25 17:18:24
0
Joerj16 :
Bravoo Mic November Romeo Sierra tango Uniform
2026-07-25 21:05:11
0
Kenny_dady :
🤝🤝🤝
2026-07-25 19:39:16
0
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm
homepage.