The best amongst u is the one who is controlling his/her anger....
2026-07-25 20:06:00
2
Never mind :
heshima
2026-07-25 22:30:16
1
Ruhya🌺 :
subhanaAllah
2026-07-25 20:01:59
1
Panami niondee.. :
wallhi hii ndio imenifanya Mimi nitukue siasa hata mikutano siendi nasubiria siku ya vote nimpe ule ninaeona anamanufaa kwa jamii,niushauri broo musifikie huku ndungu zangu,hata kma mtu ametagulia kukutusi ingekuwa vizuri unyamaze tuu kiume,hayo hayana faida ila utajikuta umepoteza hadhi yako kwa adhabu broo.kila mwanadamu ana madhaifu yake hakuna mwanadamu kamili,na tunajuana kwa madhifu yetu,hakuna ajuae kesho yake.ulonalo wewe Leo laweza kuwa langu kesho,na langu nikawa lako.so ndugu zangu tusifikine huko.hivi vitu ni zamda na hujui nani ataekutunda ukianguka njiani.tafakarini,na Allah atusamehe na atuongoze ya Rab 🤲 kwa madhaifu yetu.
Mbona siasa zenu za zisiwani ni siasa chafu za matusi tu. hiya nyie nduzechu huvona ni fahari kuchukukanana mitandaoni, mpaka vana vavuli hutowa matango kiasi hichi. hiya hamuna vana venyu wanao sikia mathango haa. hufanya vachu va jamii ingine va chuchukane. Jamani hachuna haya. haa munenao hapa ndio kuongea siasa?
2026-07-25 19:27:41
0
fafa :
uwe simwizi
2026-07-25 16:26:25
0
i.am.nawal :
🥰🥰🥰
2026-07-25 16:53:51
0
To see more videos from user @issahassan_024, please go to the Tikwm
homepage.