@meddy_0709: Innalillah wainna ilaihy rajioon. #zanzibar #tanzania #fyp

Mohamed Suleiman
Mohamed Suleiman
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 16:22:58 GMT
22792
475
67
69

Music

Download

Comments

user4299836704693
shani :
If you do not have anything nice to say, please keep your opinions to yourself. May God rest his soul in peace.
2026-07-26 02:50:00
5
wahida.muhsin.hus
muhsin wahida hussein :
ya Allah hakika waja wako sisi ni wakosefu tusamehe mazambi yetu. 😭😭😭
2026-07-25 18:44:46
23
user9487440556872
Mrs 🌹chuy🐅 :
hy sio maneno ya kusema hkika ss ni bidaamu hatuwez kujuw mwisho wetu la.muhimu nikuomneana duwa allha amsamehe makosa yk na ss atupe mwisho mwema pmoja na wazee wt na vizazi vyetu🤲
2026-07-26 02:48:36
11
subiramohamedjaff
Miss sabra :
Yaa Allah tunakuomba utusamehe makosa yetuu na utujaalie mwisho mwemaa
2026-07-25 22:49:56
10
de_nikab1
de_queen❤️ :
Kumbe alikuwaaa ashazeeek 🥺
2026-07-25 19:11:04
5
suleimanali255
Suleiman Ali :
hakika kifo ni mawaidha.Pqmojq na kuwa picha si ya marehemu, lakini tuendelee kumuomba MUNGU Atuongoe na Atupe.mwisho mwema na Atusamehe makosa yetubyote na ATUW3KE PEPONI SOTE TUNAOQMINI SHAHADA
2026-07-26 05:19:49
1
zuwena263
ilmia :
hana watu sjui naona wachache mno
2026-07-25 19:24:52
4
fmingo4
SAFFRON :
Allah alishasema popote ulipo hata mujifiche kwenye ngome mauti yatawafikia tu,alikimbia Tanzania kuelea ulaya kwa mambo yake,na umauti umemkuta huko huko
2026-07-26 01:47:52
3
khadijatalibu
taludida :
huyo siye
2026-07-26 02:39:38
1
mrsunkowon1
Mrs A❤️ :
Kmbe Ashkua mtu mzm
2026-07-25 20:09:13
2
gael.clichy1
gael clichy :
kazikwa zanzibar sehem gani?
2026-07-26 04:41:28
0
alafinabdul
Alafin_AbduL :
kuLLu Nafsi dhaikatuL maut😭
2026-07-26 00:47:18
2
milah6736
milah :
marehem kaacha watoto. wangapi na vizuka wangapi jamn
2026-07-26 04:57:13
0
user2635309073618
Maryam :
Allah amsamsamehe makosa yake 🤲
2026-07-26 04:19:47
0
moflin2073
Oriole :
Watu wengi hauna umuhimu
2026-07-25 20:09:16
3
kharous123
user1379410116689harous ruwehy :
watu wahuni jmn mbona sie huyu
2026-07-26 04:20:22
0
thamlove135gmail.com
thaliy gift & wrapping💐 :
husni lhatma ya rabiy🙏
2026-07-26 04:13:34
0
user2861269722927
user2861269722927 :
huyo sio sabri
2026-07-26 04:36:33
0
sabruu65
Sabruu :
ALLAH amsameh alipokosea na sisi atupe mwisho mwema.
2026-07-26 05:25:26
0
sabruu65
Sabruu :
hakuna mja alikua Hana makosa,na mwenye kutia hukmu ni ALLAH,muombeni dua tu Kwa sababu hatujijui mwisho wetu ,inna lillahy wainna ilayhi rajiiun .
2026-07-26 05:24:27
0
abdulwahid198017
Abdulwahid :
Innalillah wainnailayh rajioun
2026-07-25 22:21:14
4
47r4sh
47R4§H :
uyo sie
2026-07-26 03:47:08
0
user9266118709269
user9266118709269 :
waongo sio picha yake haifai nyie hamna watoto hana mna mkejeli mwana wa mwenzenu malipo duniani mna watoto vo nyie mungu hachelewi kulipa tujitahidi na ndimi zetu msije kujuta kwani mungu akikilipa usije kusahau kama ulimkejeli mwana wa mwenzio
2026-07-26 03:52:42
2
rukayyanassor
Rukayya Nassor :
WWE hutozeeka utakata maisha hivyohivyo poleni msojijua kwamnayoongea
2026-07-26 02:25:52
2
To see more videos from user @meddy_0709, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About