Kukimbia sio lengo mana ata coco wanaweza kukimbia hizo ni social issues za kutaka kurudisha kitu kwa jamii kama misaada na ukiona mtu ameenda huko basi ujue anainfluence kwa watu na ni njia ya kuwashawishi waje hapo kuhudhuria hilo tukio ili wapate hizo pesa za kusaidia jamii Si kila kitu ni chakubeza vyengine tuwe tunaangalia Impacts za hilo tukio na sio linakuaje
2026-07-26 00:14:08
20
Mohamed Abdallah :
Sababu kuu ni usharati
2026-07-26 02:58:35
18
Louis Junior Carter :
daah hata mm huwa najiuliza sana hii imekaaje???
2026-07-25 20:31:09
24
Mahamed Salat :
hii bro iam somali but mimi mkenya
niko mombasa i whent to see you kama ina wezi kana
2026-07-25 16:56:19
0
G :
Happiness is free mkuu issue ya burudani na starehe kila mtu kivyake sawa tu na mtu anatoka kwake anaenda bar.
2026-07-25 20:40:20
7
Je :
Utaelewa ikifika muda
2026-07-26 05:18:40
1
fyfy🦋peny_ trendstore :
Ni sera mpya ya 2026😂😂😂
2026-07-26 05:04:18
3
ABDALLAH HAMISS :
tajiri niwezeshe
2026-07-25 16:44:48
3
ᴅ ᴀ ɴ ᴅ ᴀ :
SI TUNA HELA NDO MAAANA🤣
2026-07-25 20:47:01
3
mudric nomad🇮🇹🇨🇦🇱🇷 :
mbona Mimi naenda kunywa mbege moshi naninakaa dar
2026-07-25 20:48:27
2
kies Rogers :
bro nini itazuia uninunulie lunch leo
2026-07-25 16:46:43
3
Rahim ramsey :
@😁😁😁😁😁😁 watu wanatoka mwanza
2026-07-25 20:45:11
1
salum liponda jr :
🤣🤣 au bhas
2026-07-25 17:08:04
1
magesa plumber family :
acha
2026-07-25 19:21:13
1
snakehead :
nikupe homework unajua theme ya iyo marathon au society events?