Asalam alaykum warahmatullah wabarakat.vip kuhusu watu wazima hatupati nusra
2026-07-26 02:32:26
0
NUHAIRA SELEMANI⚘️🥀 :
wapi hapo na inahitajika ufike au onellan
2026-07-25 18:47:34
0
sanifa415 :
Asslm alkm mm natk
2026-07-26 12:52:14
0
user7922156656574 :
nipo tayar
2026-07-26 11:18:32
0
Mwana Hussein :
mm naitaji na ninajuwa kusoma
2026-07-26 12:28:06
0
Ibraaheem Mohammed :
waleykum musalaam warahmatullah wabarakatuh sawa sheikh samahani lakini watu winginee hatujapelekwa madrasa lakini tunafahamu kuwa mwislamu si mpaka uwee umesoma sababu hatujapata bahati hiii hivi nikwamba mwislamu ambaee hajiii kusoma qr'an asiowee sheikh kusoma muhimu tukisubir musomu aolewe na musomi si kweli kumbuka hulakuna palipoandika kuwa ndoa mpaka uwe umesoma bali ndo ni heshima upendo na subrah ndo muhimu zaid
2026-07-26 06:28:47
1
Husna Juma :
mm cjui kusoma lakin ni muislam na nipo tayar kujiendeleza
2026-07-26 12:58:02
0
Mp :
waalaykum salam
mim ni mtu mzima lkn najua kusoma vip napata nafasi mana ni mjane
najee naijungaje
2026-07-26 13:17:34
0
Zaituni :
mm naitaji
2026-07-26 11:03:28
0
zawadi asiya :
mm nahitaji
2026-07-26 12:42:03
0
xhuse idrisa huxen from tanzan :
allah awajlie inxhaallah nasituwez kupata nuxra
2026-07-26 11:40:19
0
makamesimai259 :
mpomaeneogani
2026-07-26 10:59:21
0
mariam :
miminataka
2026-07-26 12:20:43
0
Abuujalaly :
Maashaallahu, Allahu akufanyie wepesi
2026-07-25 17:29:07
2
sikujuamalindi399 :
muume wangu hawezi kunifuundisha jmn akisha nioa
2026-07-26 11:18:42
0
ukhty zabibu :
hapo awe anajua kusoma Quran mmekosea kwasababu sio wote walibahatika kusoma Quran wengine wanajifunza wakiwa watu wazima mashaallah wapo vizur sasa msifanye ivo ni kama ubaguzi Fulani msinichambe nimesema kwa uzuri tu Wala sio kwa shari Assalam alykum warahmatullah wabarakatuh
2026-07-26 14:22:50
0
husnamsuya6 :
kama sijui kusoma na je kama nimeslim
2026-07-26 10:50:32
0
Ashfaina Halidi :
asalaaam aleykum hayo yakweli
2026-07-26 12:56:40
0
princessemmy777 :
hiyo nzr
2026-07-26 14:19:53
0
A ❤️❤️❤️ :
kwahiyo kama atujui kusoma Quran hatuna nafasi?
2026-07-26 10:51:52
0
user9461081714881 :
mm
2026-07-26 11:15:52
0
Ashura Ashura :
wap kak ap
2026-07-25 17:32:10
0
To see more videos from user @tahweheed_tv, please go to the Tikwm
homepage.