@peter_waziri: jifunze kwangu

peter waziri
peter waziri
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 17:10:06 GMT
138469
2539
53
133

Music

Download

Comments

inks_iphone_store
inks_iphone_store :
this is educative
2026-07-26 10:17:41
1
nasorabdull
Nasor Abdull :
hapo ni sufulia kwa sufuli je nyumba tutazima kwa nyumba
2026-07-26 06:29:19
29
asanthlewanga538
Asanth Lewanga :
asante
2026-07-26 09:52:28
0
aron.mwanri
Aron Mwanri :
watu wanapenda ubish,iyo elim nzuri sana kwa huduma yakwanza unapo pata changamoto hiyo ya moto.
2026-07-26 09:54:16
3
nahliothman_478
najma Ali :
Iyo triangle of fire moto kuni na oxygen vinategemeana sasa apo umezuia oxygen moto utazima ni science kweli
2026-07-26 10:29:42
1
chugaboe4
Chuga boe :
wakati jiko litakua linawaka sas hapo umezima sufuria so jiko😂😂
2026-07-26 09:08:20
1
elhamidz_99
elhamidz_99 :
trial ni tofauti na reality subiri itokee😂😂
2026-07-26 08:57:47
6
mpeka.msimbe.dong
MPEKA MSIMBE :
NILIONA NYUMBA YAJIRANI INAUNGUA NISHAPATA CHA KUFANYA ILA SASA NYUMBA YETU YA MAJANI
2026-07-26 11:13:39
1
sharifuabdulrahim6
Sharifu Abdulrahimu :
Bado ya kuzima nyumba
2026-07-26 06:02:06
1
titomanure257
Tito Manure :
note:usiwek juu ya kiti au any plastics materials hiyo sufuria baada ya hapo maan ni ya motto 🤣🤣🤣
2026-07-26 06:58:41
0
zamndoss
zamndoss :
Mi naomba Mtupe Elimu kuhusu mafuta yakawaka moto ukiwa unapika mfano unapika maandazi mafuta yakamwagikia jikoni moto ukawa unawaka.Na Mara nyingi ni mafuta ya Alizeti 🙏🙏
2026-07-26 04:55:26
1
user3856823966396
celly WA Moshi🌹 :
Asante kwa elim nzurii
2026-07-26 06:04:23
1
user1614758839041
chris :
kumbe siku iz wat wanapika moto jmn
2026-07-26 14:04:02
0
wolverine2540
wolverine :
kuogopa muhimu
2026-07-26 09:35:00
0
user7555446193790
Ivvyndeour😘 :
Asante kaka Kwa kutupa mbinu
2026-07-26 05:37:59
0
edger0852
EDGER :
sayans yabongo😁
2026-07-26 07:55:49
0
angeledwin500
Angel Edwin :
asnte kwa somo zuri
2026-07-26 08:08:19
0
biswalo.manyama
Biswalo Manyama :
Hy sufuria kwenye upindo pamenyooka haparuhusu hewa kuingia ndo maana moto umezima. njoo kweny uhalisia masufuria yetu yamepinda kwenye upindo moto unawezaje kuzima
2026-07-26 18:10:00
0
nurat452
nurat :
saw afande umetufunza
2026-07-26 12:30:31
1
qalb611
Ummuh nasri🌹 :
mbona mkipigiwa cm huwa hamji 😳
2026-07-26 17:44:33
0
azizamghase
azizamghase :
sawa nan anaenda osha hizo sufuria 😂💔
2026-07-26 08:39:03
0
kise7179
kise :
namdahuo hiyo ges unaizmaje
2026-07-25 23:01:29
2
alex.daudi83
alexdaudi :
Choma nyumba uzime tuone pia
2026-07-26 07:01:11
1
modren_7
Modren_Smartstore :
si ushushe sufuria tu 😳
2026-07-26 11:41:59
0
To see more videos from user @peter_waziri, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About