@uhamiaji.tz: 🇹🇿📘 MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU PASIPOTI YA TANZANIA Pasipoti si kijitabu cha kawaida. Ni nyaraka rasmi, utambulisho wako nje ya nchi na mali ya Serikali. 🔐 Itunze. Hakiki taarifa zako. Itumie kwa usahihi. 🌐 www.immigration.go.tz #UhamiajiTanzania #PasipotiYaTanzania #SafiriKisheria #Tanzania

Uhamiaji Tanzania
Uhamiaji Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 17:23:28 GMT
16824
527
35
68

Music

Download

Comments

syuczzg537
MASKINI HANA AHADI :
mpaka uwe na mwenyeji pale uhamiaji au utoe rushwa ndio utapata lkin hivi hivi tu huwezi pata, mm mwaka wa pili huu sijapata na vigezo nimetimiza adi fingerprint nimefanya
2026-07-26 05:45:46
5
zac.mendelian
Science projects + AI for kids :
it's very hard to get a passport currently, what isn't happening...??? help please
2026-07-25 19:51:48
0
jasonwemba
Jason Wemba :
sisi tunakuja congo pasipot aifiki miaka 3 inakuwa imejaa visa je Kuna karatasi za kuongezea ifike miaka kumi
2026-07-26 03:55:19
0
001tuma2
Tuma Mwinyi :
Eeeh kumbe natembea na mali ya Serekal na cjui 😳😳
2026-07-26 09:39:10
0
precinhoprecinyo
prea@99 :
inachukua muda gani kupata passport baada ya kuwasilisha maombi na kufanya mahojiano?
2026-07-25 18:19:07
0
latifah4.salim
Latifah4 salim :
shukran sana nashukuru sana selekali Yangu kwa kuniamini na kunipa passport Niko napambana
2026-07-26 03:41:36
2
zuwenaramadhani88
zuwenaramadhani73 :
rushwa mbele hivhiv upat
2026-07-26 06:41:30
0
user7339126657010
Nasmira :
🙏🙏🙏
2026-07-26 05:33:42
0
kitenge.ayoub
Kitenge Ayoub :
🤗🤗🤗
2026-07-26 07:52:03
0
To see more videos from user @uhamiaji.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About