Kisambaa ni comedy tu😁🤣ambao hawaelewi hii lugha wanakosa raha😂
2026-07-26 12:49:28
41
Mariamy :
Apo unatambaliwa na nn umenikumbusha mdogo wangu anaitwa sheby alimuuliza shangazi yetu kwamba shangazi unu uji umeupingaaaaa nilicheka🤣🤣🤣🤣🤣 adi leo sijaisahau🤣🤣🤣🤣