@spinklemamy4:

سبينكل 🦋🦋
سبينكل 🦋🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 18:14:38 GMT
52450
1658
84
368

Music

Download

Comments

dadas.beauty.saloon
dadas beauty saloon :
nikajua mim2 kumbe tuk weng ety
2026-09-28 15:56:20
1
user7740746955500
REHEMA :
Mawazo yanakuja to Huyu saivi hanipendi nishanuna 🥺
2026-08-07 12:51:17
5
itsre53
It’s me :
Ndo kilichonipoza mimi afu anachukulia dramaa 😅
2026-09-28 22:16:36
0
salmnamlia
salmnamlia :
mm ndo azipt ata sku mbil kama sijamnunia yaan🙈
2026-08-06 09:03:31
2
shadiayahya5
princess shadya26 :
nilijua ni Mimi tu
2026-08-15 12:17:11
3
aymanalimohd
dada wa taifa :
jamn kumbe tuko weng hv afadhl nna ndugu zngu 🙏🙏🙏
2026-08-04 11:43:57
2
habby.chama
Habby Chama :
umesahau kitu kimoja na tukibembelezwa bado tunaona kama hatujabembelezwa na kuona kama hatupendwi sikuhizi 😂😂 watajuta kutupenda
2026-08-06 08:29:30
1
tanzania5462
tanzania :
amina
2026-09-27 16:00:44
0
rahma.massawe05
Rahma Massawe :
yaan umenielezea hujaacha kitu🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-15 14:25:54
2
040002.janeth
janeth💕🫶 :
huyu mimi kabisa 🥺🥺
2026-09-18 13:00:24
0
drsha_only
dr sha :
😂😂poleeee
2026-07-25 19:51:56
0
fadhiluna7
fadhiluna :
aisee mm na wewe ni ndugu basi😂😂
2026-07-25 19:21:56
0
mrskhaled0
💞Mrs Khaled💞 :
me apa ndonimenuna leo siku yatatu naona km anipendi tu😂😭
2026-08-19 06:47:39
1
rosekimario13
Mrs James🩵⭐🦋 :
Kuna mtu ata umfanyie yote haya hakuna kitu
2026-09-24 17:33:28
0
aiem.zee.official
Itc zee🦋 :
mi nikimpigia cm alafu apokei bas nahis ananicheat naanza kulia mwenyw 😂
2026-09-01 19:13:36
1
user8174299781459
rizzy baby🕊🕊 :
yan mi kila anchofanya naon ananiumiza tu
2026-08-30 18:03:52
0
suhailaabdala
user3399694913528 :
ila ww mbona mm uyo jamani adi najiogopa wivu gani uu jamani😭😭😭
2026-08-09 18:29:18
0
cutefaa2
cutefaa🦋 :
2026-07-30 06:00:37
0
nailah7176
nailah :
😂😂dah asa siumalizie najina langu tu ni mimi uyo
2026-08-19 19:31:16
1
mumydinna..28
𝓞𝓯𝓯𝓲𝓬𝓲𝓪𝓵 𝓓𝓲𝓷𝓪 ✨🦋 :
pacha
2026-08-20 16:25:52
0
lina123456789029byt
Lina byt :
Mimi Leo nimeamka asubuh nimejinunisha ATA sjui sababu ni nn 😅😅
2026-09-29 10:17:55
0
rechol.joseph
Rechol Joseph :
mbona unanisema mmi kabisaaaaa😂😂
2026-09-29 14:49:43
0
babynofelly2
🌹🌹babynofelly🌹❣️ :
😂😂me nimetok kugombwa mda huu kuhus izi tabia halafu naingia tiktok nakutan na hi post😂😂mung nipe uvumiliv
2026-09-13 14:11:33
0
bintirichard0
bint Richard ❤️❤️ :
jana hajapokea sim nikaanza kulia mwenyewe chumbn nilimnunia siku nzima😂🥰
2026-09-03 03:13:11
0
mwanaidibundala1234
mwanacosmetic arusha :
tujengewe sanamu wapi😂
2026-08-01 14:03:18
0
To see more videos from user @spinklemamy4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About