@scopemediatz: Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kuwa Kariakoo Dabi ni mechi ambayo haipendi na anatamani hata isingekuwepo. Cc: Safari Lager Podcast (On YouTube) #ScopeMedia

Scope Media
Scope Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 18:42:01 GMT
129048
9896
67
162

Music

Download

Comments

estony8
user8322451545722 :
alafu uku mashabiki Wana kunjana jamn🔥
2026-07-26 05:59:58
47
mykoara
KOARA🐨 :
tunatakiwa kuwa hivi kwenye Yanga na simba maana ndio Jadi yetu
2026-07-26 04:18:19
46
its_jovin_tz
its _jovin_TZ 🤓 :
waskaji wanapendana kwenye maisha ya kawaid 💥💥🙏
2026-07-25 20:31:57
49
kelvinponera3
simba :
kumbe hawa Jamaa n familia😅😅
2026-07-26 07:33:45
2
user3449313612123
unknown :
mpira sio uadui. kuna baadhi ya mashabiki hufanya simba na yanga ni vita. Angalia jamaa hao wapo wanakula stori na vicheko juu.
2026-07-26 06:35:47
16
marcopolmichael
marcopor Michael :
mi sikuhizi kila kitu siamini hi ni al ama ilikuwa live 😏😏😏
2026-07-26 07:07:44
3
hadija.shaban28
Hadija Shaban :
ata mm kwa kweli dab siipendag
2026-07-26 06:59:03
3
officiel_saisfaresa
Officiel |Saisfaresa|🔥 :
leo ndo nimegundua mashabiki sisi ndo tunagombanisha watuu🤣🤣
2026-07-26 08:43:11
2
user2551167581699
hancebeth :
ila napenda sana meeting ya ivi
2026-07-26 07:55:47
2
king.elia1
king Elia :
Daaa hadi raha 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-25 21:21:59
12
anitha.nyamwiza
anitha nyamwiza :
Ata mm siipendi kabisa
2026-07-26 05:33:24
3
stevewalker.1
💲💎$TËV£💎💲 :
yan kuna baadhi ya vitu ukiwa unaviona kama hivi unafurahia Sana YANGA NGUVU MOJA, 😂😂
2026-07-26 05:48:54
10
sam71581
sam :
Wamefurahisha kuonyesha mpira sio uadui.
2026-07-26 06:03:05
3
pendaelilonyokie
Pendaa@166 :
Nimefurah kuona hii
2026-07-26 05:33:15
3
lastborn5906
VOICE OF ISIMANI :
inabid hv vitu vifanyikage wiki moja nyuma kbla ya dabi ili ilete mvuto wa dabi
2026-07-26 05:05:07
7
laurent.tambo
Laurent Tambo :
Nimeipenda sanaa mm jmn
2026-07-26 03:00:11
8
memo08779
Memo⚡️ :
🕞ile sikunyingine ambao nyi hamkuja😂😂😳
2026-07-25 21:31:19
8
user9558781560317
wakukaya T :
hapo unyama ndo inavyo takiwa
2026-07-26 02:30:55
6
khanem84
KHANEM :
huu ndo wenyewe mpira sio vita wananguu hii nimeipenda san
2026-07-26 04:35:15
9
hi_its_happiness
Happiness :
Hadi raha 🥰
2026-07-25 20:17:13
5
ibrahim.charles15
Ibraah 🪷 :
huu ndo utani wa jadi sa , hapa mumetufurahisha sana
2026-07-26 05:41:28
3
mc_goodluck7
𝑴𝒄_𝑮𝒐𝒐𝒅𝒍𝒖𝒄𝒌 :
Kapombe 🔥🔥🔥🔥
2026-07-26 05:40:44
2
v.m.f80
v.m.f💚💛 :
Dabi waga ina pressure kusema kweli
2026-07-26 04:44:33
3
humble_strider
MUMY -brother's (king's 👑) :
sirudiii kugombana na mwanasimba mm mâna tulikua tunaenda kuumizana Sașa... ata mtoto wa mwanasimba kwangu ilikua marufuku kukatiza...
2026-07-26 08:09:28
1
deuszephania
MR D :
kumbe siyo sisis tu mashabiki adi wachezaji wanadab
2026-07-26 06:41:02
1
To see more videos from user @scopemediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About