@scopemediatz: Wasemaji wa vilabu vikongwe Tanzania waneeleza kuhusu umuhimu wa utani wa jadi kwenye maendeleo ya soka Tanzania. Cc: Safari Lager podcast #ScopeMedia

Scope Media
Scope Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 18:46:49 GMT
507643
39106
431
422

Music

Download

Comments

empress_brave_
True love :
hv dubai ni nchi
2026-07-26 06:45:20
84
assas266
physicus :
love you 🤟
2026-08-21 19:02:50
0
kenyaviews111111
Gold values 🔥 :
natamani kuona ccm na chadema waishi kama nyinyi
2026-07-26 09:40:54
282
dr.g.mahona
Dr G.mahona :
nilitaka nishangae wamalize story kwa amani🤣🤣🤣😂😂
2026-07-26 07:57:33
120
kemib.msigwa
OFFICIAL MSIGWA🇹🇿 :
jamani nauza tshirts ya amed ally😂
2026-07-26 05:08:42
79
bak.de.real
Bak De-Real :
😂😂😂kama umechek san kama mim tujuane apo
2026-07-26 11:14:58
88
user5861716073160
Erasto Zawadi :
Mimi nawapenda sana jamaa zangu Hawa Bado Hashim ibwe ajaja apo 🤣
2026-07-25 22:29:06
76
makamba.simba
Makamba Simba :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂na nyinyi mmeanza kubishana kabla ya mashabiki, tanzania ni asili ya upendo, siasa tu ndo inatuvuruga.
2026-08-11 08:01:37
21
unju.sela
unju sela :
kama umecheka kama mimi gonga like apo
2026-08-12 09:15:41
18
baluhyanzumbi462
Clever :
tumepigwa Dubai ni nchi ya bara gani wasomi nisaidieni
2026-08-04 12:27:55
5
emmanuel.kulwa82
Emmanuel kulwa :
ally anamuweza san semaj.😁😁
2026-07-25 22:07:24
46
nkolanigwantashay
NKOLANIGWA NTASHAYA :
nawakubali hawa jamaaa! hawagombani ni utani wa jadi tu ! safi sana , big up sana AHMED ALLY
2026-08-11 07:30:59
11
geofreymwafinga
geofreymwafinga :
hawa jamaa wanajua sana
2026-07-26 05:04:40
33
user2451173970243
chris :
bwana yesu asifiwe guys
2026-08-08 08:34:44
6
salimkondoko
Salu khan og :
Daaaah ila kamwe anaongeaga points sana
2026-07-26 16:58:04
10
zizouh5
Dullah Zizouh :
Mmeanza vizuriiiiii 😂😂mwishon sasaaa
2026-07-28 03:51:06
5
sirajinzom
Siraji Nzom :
Tommy & Jerry 😄😄
2026-08-18 00:44:41
0
kitengoally
Kitengo Ally :
Fact sana
2026-07-26 01:24:19
0
adercombie
Khal :
Yan apo apo wakaanza😂
2026-07-26 08:17:54
6
kenyaviews111111
Gold values 🔥 :
simba na yanga hakika mmepata wasemaji wenye value(thamani)
2026-07-26 09:39:28
17
user3477656170993
selemani :
iv Dubai ninche kwel
2026-07-26 07:41:05
16
mwana.kanyerere
MWANA KANYERERE :
nilitaka nishangae mfike mwisho bila kaubish
2026-07-26 08:46:21
7
beemaster_12_tz
Beemaster_12_tz :
ila Ally
2026-07-25 20:26:04
15
mcdogomende29
Mc dogo menda😁😁 :
kamwe akimuwahi Ahmed nimecheka sana😂😂😂😂😂
2026-07-26 05:04:42
13
user5171048844188
kulwamakumi :
me nachekaga san hawa wasemaji wakikutana nafurahi san
2026-07-26 08:14:39
6
To see more videos from user @scopemediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About