@scopemediatz: Beki Bora wa kulia Shomari Kapombe ameeleza kuwa Kariakoo Dabi ni Moja ya mechi ngumu na zenye Presha kubwa ambayo hazizoeleki hivyo Kuna muda unaweza kutamani Bora hata mechi isingekuwepo. Cc: Safari Lager Podcast (On YouTube) #ScopeMedia
ila nowadays Darby imekosa mvuto bhna kipindi kile ukisikia Darby tim zinasafiri yanga zanzibar simba bagamoyo siku ya mechi kinachafuka kwli ila sahz mmh hamna kitu
2026-07-25 22:28:12
26
beeyyothumanmagan :
daaaa nihataliii
2026-07-25 21:36:50
13
athumani :
Kwann inje ya uwanja?
2026-07-26 19:49:26
4
Listen Music :
Kapombe mchambuz bora wa badae the way anavyoongea fact kiukweli ni mchambuz mzur badae
2026-07-26 08:43:05
36
official_masoud😍 :
Kama mchezaji kaongea uhalisia mtupu, hamna mchezaji ambaye anaichukulia dabi kawaida
2026-07-25 22:14:03
37
Livingstone Pallangyo :
mm yanga lakn huyu beki kitasa sana fahar ya Tanzania
2026-07-26 14:02:23
15
user1330276157923 :
ni mkweli mm mmoja wapo presha inakuwa juu
2026-08-14 10:16:28
3
verana :
tunakukubali kapombe
2026-07-26 22:17:25
2
Mr. Auditor 2025. :
jamaa wanakumbuka 5-1....wanatamani kucheka 😂😂😂
2026-07-29 17:27:11
3
zacharia Gabriel🇹🇿 :
Hayo maandalizi ya nje ya uwanja yapoje
2026-08-19 12:40:43
3
Mr Germany 🤗 :
kumbe huwa Wanaogopa🤣🤣
2026-07-30 15:20:13
1
habi5bu7 :
hatujii
2026-08-21 19:02:11
1
CREMORAYPER :
mbona job anataka kucheka☺️😂😂😂😅
2026-07-27 10:03:57
2
Shewa_boí :
Ali bhan
2026-08-24 06:47:49
1
Ndamajeuli :
🥰🥰🥰🥰
2026-07-25 22:28:38
8
user3735072975043 :
🥰 ni kweli kabisa mim Simba ila Nina presha mpaka nikiw nyumban badala ya kiangalia tv nawasha redio aisee mpira mtam tareh 12 nilikua nasikilizia kwenye bed nilipofungwa wew nilikua nawaza tu kesho kazini yangaa 😳😳..
2026-08-20 10:53:35
2
BABA KOARA🐨 :
nimejuwa sasa kwa nini ile hatuchezi Yanga jambo hilo walikazania kumbe wenzetu kuna mda hawataki hata kucheza
2026-07-26 04:10:06
8
tonny james :
kumbe mnaogopa dabi
2026-08-12 07:40:29
1
Bladsina neno$$$ :
inabidi ucheze eeeee Darby ningumu eeeeee mchezo wa Simba na Yanga ni pressure kubwa eeeeee dah Kila neno ni eeeeeee kama dj maphi😂😂
2026-08-19 19:42:06
1
Anderson Amos :
Fact
2026-07-27 06:31:44
1
dizzo_ kids ☘️ :
Kwann wat wa simba wanaiogp derby
2026-07-27 12:54:35
2
tele kalinga nachombwe💃💃 :
hata mm daby naonaga bora isingekuwepo huwa inaumiza sana
2026-07-27 03:26:24
3
god's plan :
saiv dabi ya mzma ndy kali
2026-07-26 08:32:33
4
To see more videos from user @scopemediatz, please go to the Tikwm
homepage.