@nyayotv: Bondia Hassan mwakinyo aweka wazi namna alivyokataa deal kubwa kisa meneja wake na kuonyesha masikitiko yake juu ya meneja huyo kwani kitendo chake Cha kuwa mtu wa dini sana kilimfanya amuamini sana kumbe nyuma ya ibada yake kuna mambo machafu mengi yanaendelea. Pia, mwakinyo alienda mbali zaidi na kusema kwamba watu wanaovuta sigara ni wema sana kuliko hata wale ambao hujifanya kufanya ibada na ni WEMA sana mbele za watu. @Mnakole Emmanuel ✍️ Follow us 🙏 #fypシ゚viral #creatorsearchinsight #tiktokkenya #fyp #boxing
Hata siku moja hawawezi kuwa Sawa mtu ambaye anafanya ibada na ambaye hafanyi ibada.Mtu anayefanya ibada kwa ajili ya kutafuta Radhi za Mwenyeezi Mungu ni mtu bora miongoni mwa watu bora Duniani.Hawezi kuwa mtu mmbaya
2026-07-26 09:34:13
4
user4637680572926 :
Kuna mambo ukiyapitia kwenye maisha haswa ukiwa mtu mwema ndo utaelewa Mwakinyo anasema nini.
kimsingi hakuna jambo baya kama kumuamini mtu awe ndugu au jamaaa halafu akageuka na kukufanyia uhadui.
2026-07-26 03:45:31
30
slim tag :
wapi uliona mtu aki swali rakaa moja
2026-07-26 00:36:54
23
chuyu74 :
Very trueeeeee
2026-07-26 05:33:09
0
David Lyimo :
champez to the world
2026-07-26 03:56:32
0
said :
Brother Hassan ingekuwa bora sana vitendo vyako (mchezo) vingekuzungumzia zaidi kuliko lawama. Baada ya mambo kuharibika kule Ivory Coast, tafuta mchezo umtwange mtu ili kuweka mambo sawa.
2026-07-26 06:21:32
4
Africansafari :
Nimejifunza kitu, pole sana kaka huwenda kunanusra kaka but pole sana
2026-07-26 06:11:43
2
ibrahimsayeed945 :
huyu jamaa anaufaham mkubwa sana
2026-07-26 09:08:16
1
simbakitara :
unamapenz sana na watu wako ila wao hawako na wewe
2026-07-25 23:01:39
5
Suleiman Charles :
hizi ndio sababu watu kumchukia hasani kusema ukweli na misimamo yake,mimi shabiki yako,nimekubali kwa misimamo yako,na ndiyo mungu anataka na ndiyo ibada ya kweli,
2026-07-26 05:35:43
6
NAFUU ELECTRONICS :
jamaa anaakili uelewa mkubwa sana kosa lake misimamoo mikubwa
2026-07-26 04:26:32
6
lubuma007 :
Weka baadhi yao mkuu
2026-07-26 04:29:27
1
k rang :
broo hassan unasema sawa ila rekebisha neno la watu wa tasbih c wote but msemee huyo jamaaa tu tasbh ni neno la kuashiria kufanya utukufu wa mungu basi kaka pole sana ila amin ww unafungu lako zuri but usiharibu kwa ubaya wa huyo mtu fanya wema wako
2026-07-26 05:14:02
4
Abuu Muslih :
mseme meneja wako na sio wote
2026-07-25 21:27:19
3
David mwaikambo :
Huyu jamaa uwa anaongea vizuri sana
2026-07-26 01:40:05
5
fadhil kassim :
Life ni experience upo saw Kwa upande wako maana umepitia Mikono ilio kuumiza kwa mwenye sura ya UCHAMUNGU ila Mungu ana watu wake walio wachamungu na wenye kutunza Ahadi zao
Usizilatie Tamaa Rehma za Allah na muombe akupe watu Sahihi
2026-07-25 23:29:22
7
FIRE EXTINGUISHER TANZANIA :
DUH KAONGEA UKWELI MTUPU
2026-07-26 04:05:51
1
senior :
mtani wewe ni champion wangu na najifunza kupitia hotubazako
2026-07-25 23:40:25
7
aminajaribu107 :
ni kweli mwakinyo anachokisemaa
2026-07-26 05:49:52
1
Rashidi Ally :
Hujataja kisa cha kugombana naye, unatupa taabu ya kuamua kwa haki
2026-07-26 01:44:06
1
poch nene :
binadam ndo walivyo shekhe tusiwamin sana
2026-07-26 06:37:54
1
The Dark Heartbeat 🖤 :
Huyu mwakinyo anasemaga fact sana tena sana na mm yamewai nikuta.
2026-07-26 05:15:39
1
David mwaikambo :
Huyu jamaa ana ujumbe mzuri kila nikimsikia uwa nafarijika kila ninapo msikia
2026-07-26 01:43:26
1
PETER LUCHO🇹🇿 :
kuna somo hapo kaka
2026-07-26 01:31:22
1
To see more videos from user @nyayotv, please go to the Tikwm
homepage.