@lilymediaa: 😄🤣🤣 #yangasc #doumbia #simbasc #goviral #

lilymedia
lilymedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 20:08:56 GMT
135597
5999
222
161

Music

Download

Comments

gadimtega
Gadi Gamid :
kwani Simba ametokaje wakuu 🤣🤣🤣🤣
2026-07-25 20:33:09
40
muddy1608
Muddy :
dumbia ashindwa kutupia 😄😄😄😄😄Ina sounds good 😆
2026-07-26 04:54:45
3
user47561126114612
JR FM :
wanasema ni mzuri akitokea pembeni bila mpira
2026-07-26 09:00:02
12
user5170615292245
Xantos😜 :
Simba inachekesha kama sio timu yako😂😂😂
2026-07-26 10:45:52
4
mchele.jr.53
@Mchele Jr 53 :
tumepgwa
2026-07-25 20:37:33
14
user522634160631
konde Decoration🏙️🌃🌇🏦 :
dumbia😁😁😁😁 a wee dumbia 🤣🤣🤣 tumtpe nauli alud dumbia ashindwa kutupya🤣🤣🤣🤣😂😅😂😂
2026-07-25 21:18:28
0
fightergang_tz
Wasukumataifakubwa🌎 :
Osmhen 🔥🔥
2026-07-26 06:06:43
0
mellaboy4
@mellaboy :
naenjoy mm ☺️☺️🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-25 22:51:15
0
rabiah.muddy
Rabiah Muddy :
drumbeat ashindwa kutupiyaa 🤣🤣🤣🤣
2026-07-25 20:44:24
0
hunter_.21.offici
CITY HUÑT£R21 🪖🦅 :
Ana appearance ya Osimen lkn performance ya Yipe 😁😁😹
2026-07-25 22:30:28
10
ronny.traga
Robert nyambega :
binafsi Mimi yanga ila huyu doumbia ni hatari ntakuja kunambia anawahi sana kwenye matukio
2026-07-25 22:08:52
8
jaxcmv7
Jackson J. Marko :
Akianza kufanya vizuri hawa ote watakua upande wake
2026-07-26 05:35:41
4
mhina.shabani
mhina shabani :
kwa wanao jua mpira mchezaji hapimwi kwa mechi moja ..ila kama hujawahi kucheza mpira utaongea mengi sana ila kama unajua mpira mpe nafasi na muda wa kutosha atawashangaza wengi sana
2026-07-25 21:26:26
6
user44754922760654chriss
Christian :
saiv zamu yetu nass😂😂😂
2026-07-26 07:32:27
0
edwin.allan3
Edwin Allan :
Huyu jamaa anafuahisha Sana kama ushabikii simba
2026-07-25 21:40:28
2
shukurujuma852
Dogo Msafi :
Anachoka mapema
2026-07-26 05:27:31
1
danielzelote0
user599998565724 :
dah kaka tumepigwa
2026-07-25 21:02:07
0
chrispinchristoph64
Chrispin christopher :
ila doumbia wa yanga ukimuangalia alikuwa vizuri tu
2026-07-25 23:44:01
1
bashirumachupa
bashirumachupa :
Bakiza maneno kaka siku bado nyingi
2026-07-25 20:20:31
6
fightergang_tz
Wasukumataifakubwa🌎 :
Doumbia ashindwa Kutupia 😂
2026-07-26 06:07:02
1
abduli.songolo
Abduli Songolo :
simba kiboko yao
2026-07-25 21:13:38
1
martin31514
martin :
tuko na dumbia mjini maombi yangu simba inatakiwa iwe na wakina dumbia hata 6 hivi ndio mambo yatakua safi sana
2026-07-26 09:11:23
1
amatz770
Intropact 🤫🤔🫡 :
simba wanachekesha kama sm yako ila linauma so poa😊
2026-07-25 21:58:18
1
rb.reuben321
Rb.Reuben@321 :
Acha dharau uyuu ndo Osmien wetu bado tumpe max tuu🫡
2026-07-25 21:33:47
1
godfreymasesa
𝓜𝓪𝓻𝓬𝓸𝓼𝓸𝓷 :
Kwan alikuwa anacheza timu gn before
2026-07-26 09:44:27
0
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About