@omarykimwagar420: find the missing number

ØMMY KIMWAGA 🇹🇿🇨🇩
ØMMY KIMWAGA 🇹🇿🇨🇩
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 20:28:23 GMT
4127
249
25
10

Music

Download

Comments

empty...zero0
@hunter :
ka B/maths flani iv
2026-07-26 09:32:58
0
rj.mshana
mshana ♍️ :
Sasa mbona saiz naelewa sana ila kipnd kile 2009 skua naelewa 😂😂
2026-07-26 08:05:02
4
othuman.salum5
othuman salum :
shida ni kubadilisha elimu kuwa pesa
2026-07-26 05:12:03
0
michaelmy386
michaelmy386 :
ambao hamjaelewa kama mm like hapa🤣🤣🤣🤣
2026-07-26 10:14:53
0
denisassenga635
Denis :
42
2026-07-26 08:48:28
0
captain_nova004
☆𝓝𝓸𝓿𝓪𝓼𝓽𝓲𝓷𝓱𝓸☆ :
niludishwe shure tafadhar
2026-07-26 09:54:24
0
hakeemmussa0
Hakeem Mussa :
ayoo maehab ynachelewesha wanafunzi
2026-07-26 09:58:09
0
apomy
⁉️ :
asa imekuwaje leo nimeelwa ile 20010 ilikuwaje
2026-07-26 09:22:59
0
mehdi___salum
️🧢mehdi___salum☪️ :
2008 tuliambiwa na mwalim wa math mtakuwa masikini sana na maisha magumu saiv nampa lift njian 😂😂😂
2026-07-26 10:14:47
0
rojas42414
R.k 💣💥fipaboy🥂tz💣💥 :
mbona kipi niko shule nilikua sielewi ata kidogo lakini saivi naona rahis sana nini shida
2026-07-26 09:54:56
0
john.elinema
John Elinema :
Hakika Elimi kiganjani.
2026-07-26 09:46:37
0
johmallya
johmallya :
12+30=42 unatuzunguusha
2026-07-26 09:35:47
0
amirishemissea
amirishemissea :
nakukubali baba
2026-07-26 08:50:32
0
funguanafsi4
D14 _SKY WAY,,,004 :
unapatikana wapi kiongozi?
2026-07-26 08:46:54
0
given_watchstore
Given_WatchStore :
Basi yule mwalimu wangu alikua kilazaaaa sanaaaaaaa alishindwa kunielekeza hivi kweli😂😂😂😂😂ye alikua anawaza mabakoraaa tuuuu
2026-07-26 09:44:23
0
joshuarobin79
joyboy :
kumbe ndo Ivo nirud shule
2026-07-26 08:30:20
0
grey_lunya
Grey :
42
2026-07-25 20:48:27
0
babasifael
ecs.Signal :
walinichelewa kwakweli
2026-07-26 03:53:58
0
lodrick_john
JOHN THE RIDER💪 :
SIJUI NIPOJE NIKILALA NA MWANAMKE ANATAJIRIKA HALAFU ANANIACHA
2026-07-26 09:58:31
0
user2433226636521
Jullyhb Diwan :
Ila elim ya Tanzania sasa hiyo namba kwenye maisha ya Mtaani unaitafutaje au inakusaidia nn ukijua namba inayofuata eti ukipata hapo unaitwa unaakiri
2026-07-25 21:20:57
1
kendrickxt1
KendrickXT03 :
walimu ndo walikuwa wanazingu wakuuu
2026-07-26 09:40:13
0
user2433226636521
Jullyhb Diwan :
Ndio maana waliokuwa na akiri shulen nimasikin
2026-07-25 21:21:29
0
wiz.man42
wiz man :
😁😁
2026-07-26 06:52:32
0
kadole.1
Çyprïån OG :
😂😂😂
2026-07-26 07:54:17
0
To see more videos from user @omarykimwagar420, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About