Kuna alie toa uhai wake kwaajili ya dhambi zetu.. YUSU KRISTO damu yake inanena mema mbele za mungu.. n kutufanya tusiwe n hatia mbele za mungu endapo tutampokea moyoni mwetu na kumfanya awe bwana na mwokozi wa maisha yetu.. Amen 🔥🥰
2026-08-30 22:12:01
4
ctv.bm tz :
Mungu atusamehe jmn😭😭😭😭😭
2026-09-02 15:39:52
2
255johntz :
duh!
2026-07-26 15:34:14
1
user2797930737854 :
we acha tu
2026-08-10 20:38:11
1
John tz🇹🇿 :
umefanya nime waza mengi sana da!!
2026-08-04 19:52:58
2
alone :
tunacho takiw now tuombe toba kwa Mungu nakuurudia uso wa Bwana wa majeshi
2026-08-16 04:52:25
1
kang joing :
daaaah maisha ya dunian kama tungekuwa tunayajua ni mabaya sana naimn sidhani km Kuna wangetak kuja kuishi kabisa mm nimevunja amri kalibia zote mungu baba 🙏🙏🙏🙏 nisamehe
2026-08-09 07:09:14
3
anod mbotwa :
mwanagu furani akiwepo aina noma hata mungu tuta mdanganya
2026-08-29 11:18:45
0
choro boy :
ndoutajua ujui Sasa kwanini maji hayana rangi
2026-08-14 20:31:44
1
BARZAKH :
daa
2026-08-04 21:00:07
2
Ruty Rty❤️ :
😭😭
2026-08-04 19:25:29
1
Hassan bey 👑🦺🚛😎🌏☀️ :
🥰🥰🥰
2026-08-30 10:07:40
0
To see more videos from user @user4390324001629, please go to the Tikwm
homepage.