@clastech: Kisa hiki kinasambazwa sana kama simulizi la mafunzo, lakini hakuna ushahidi wa kihistoria unaothibitisha kwamba Alexander Mkuu alisema maneno haya kabla ya kufa. Hata hivyo, ujumbe wake kuhusu muda, mali na kifo umeendelea kuwagusa watu wengi. #alexander #thegreat #clastech #swahilitech
clastech
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 05:00:00 GMT
Music
Download
Comments
THE EAST STAR :
Mkuu nipe source of information, from books not movie
2026-08-01 05:01:20
0
mr. Robot :
ambao wametazama series ya porus wataelewa
2026-07-26 11:05:43
19
juma :
good massage
2026-07-30 09:31:50
1
zanzi@ :
great lesson 👍
2026-07-26 21:36:46
1
vegalicious :
hii niliona kwenye porus , alexander aliomba mazishi yake yawe ya aina hii , alisumbua sana 😢😢
2026-07-27 07:57:38
5
Emmanuel :
hivi kwanini tunasema tunatafuta maisha?
2026-07-27 02:53:39
4
Richi Guide $$ :
nakubali kaka
2026-07-26 11:28:03
2
Raphael Thomas :
daa nimejifunza kitu san kuhus picha hih
2026-07-26 15:52:44
4
Michael Joseph :
sasa arisemaje
2026-07-26 06:28:12
2
KIZUA MAKUKU👉buguruni📍 :
👏👏 Elimu kubwa sana
2026-07-26 06:51:38
3
kajoka jr :
Asante sana kwa post hii
2026-07-26 22:25:36
2
keja kanoni :
dah mungu tusaidiae
2026-07-26 18:37:49
2
The🎵 real dizzoh📌 :
noma sana
2026-07-26 13:33:08
2
Wa HONDOGO og :
kwel mwanang
2026-07-27 06:30:31
1
BAD KUCH :
daah naikubali
2026-07-27 04:30:27
1
Mhana tz :
Hii kubwa sana
2026-07-26 06:25:32
2
Moussa_kitota3️⃣7️⃣🔹 :
jamani tutafute hela tuache ushauri wa hivi 🤣
2026-07-30 17:33:57
2
💦💦 felistar :
kwer kabc
2026-07-26 19:05:49
1
Pson deer🦌 :
Big point ❗️
2026-07-27 17:03:48
0
Sawizzl26# :
Kazi Nzuri
2026-07-28 05:27:41
0
jawansoldier :
good brother
2026-07-28 07:31:29
0
Big jr :
True kweli kabisa respect
2026-07-30 15:27:05
0
Junior Laulent :
fact sir
2026-07-28 06:22:25
0
DEFA-HO DEMILADE🔐 :
🥺🥺
2026-07-30 15:01:40
0
solomon temp 124 :
ujumbe mzito sana
2026-07-30 09:59:22
0
To see more videos from user @clastech, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.