kuna tym i had a crush with my neibor,nlikua ntoka kutupa dustbin mara nne kwa siku
2026-07-27 09:45:12
2
lucky gal :
that's my situation right now 😂😂😂😂
2026-07-28 06:34:15
1
cartaker wa mbinguni :
nimecheka adi nimefariki
2026-07-26 08:52:54
132
EKEBUNDUSI :
welcome to Kenya where an extra boyfriend is called bestie 😂😂
2026-07-27 06:32:09
3
Kristeen :
My situation right now😁😁😁😁
2026-07-27 11:54:18
47
purity kavesh :
ndio maana Jay melody aliimba jirani
2026-07-26 05:50:09
307
sammidoh :
red flag
2026-07-27 07:41:20
2
Fatuma Abdo :
Jirani where are you 😁
2026-07-26 23:22:50
2
Dorothy swarez :
exactly 😂😂😂😂
2026-07-27 04:45:12
0
Blessed Beryl :
Wacha kumwaga maji....Mimi nilikuwa natoka na nguo zilishakauka Jana naanika tena...😏😂
2026-07-26 11:25:42
121
Betty kanana :
mimi nilikua natoka kutafuta mtoto na Ako kwa nyumba 😂😂😂
2026-07-26 09:33:08
70
~NAIRO Nation🇰🇪🇰🇪 💯❤️🩹 :
hii imenipata offguard 😂😂😂😂my day maker
2026-07-26 07:28:22
37
Kàrèn :
that was me back then😅😅😅
2026-07-26 08:54:51
19
🎀dorrishazy🎀 :
Alafu kidogo kidogo unamuona na mtu walai😂😂😂
2026-07-26 19:48:16
27
✨Mellymelissa🌹💖 :
hii nayo ni ukweli na kuchungulia kwa dirisha kila mara kama anapita🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-26 08:00:32
24
na.diva13 :
mapenzi yana wenyewe neutral 😂😂
2026-07-26 17:57:28
6
Blessed Oliver :
wachana na maji mm nilikua naenda choo nikirudia rudia
2026-07-26 19:30:25
10
it's wycii✌ :
mm nilieka food nilikuwa nakula kwa dustbin nje ..kuku 🤣
2026-07-26 19:20:54
5
ELVIS :
heri ww mm hadi natoka kutupa chakula haijaharibika kwa dustbin
2026-07-26 14:37:06
56
Dally254 :
those watching now 1:40 from there beds may God provide u with a gud nap as you go to sleep🤣
2026-07-25 22:39:30
30
Quesh🥰🥰 tabby :
mimi nilikuwa Hadi nakunjo nguo kwa hanging line waaaaah 😂😂😂
2026-07-26 07:55:26
11
💝 kelcy kell✨💖 :
mwenye nilicrushia alikuja na Dem siku moja niliingia kwa nyumba nikalia since then sitaki ujinga ya kupenda🤣
2026-07-28 05:05:50
10
willyzmsau 🇰🇪 :
Alikua anaishi na karibu duka, so nimetoka kununua maziwa do you know niliskia akiitwa atumwe shop nilirudisha iyo maziwa nikasema ni mbaya 😂 na sijafika kwa nyumba 😂
2026-07-26 14:37:18
5
To see more videos from user @neutral_niki, please go to the Tikwm
homepage.