@alphacommando2:

Night Hawk Special Ops
Night Hawk Special Ops
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 July 2026 00:02:50 GMT
8301
263
73
6

Music

Download

Comments

user7001167075385
🇹🇿💕 :
week ya 3 hii... 😅😅😅
2026-07-26 08:28:28
0
tiktok.nayah
Nayah🦋🦋 :
yaan nakaushiwa Kila ninapo karibia kumove on ananipigia af anapotea Tena mieziii🥺
2026-07-26 06:22:56
5
cintah640
cintah :
2weeks
2026-07-26 05:47:12
0
nuryn992
It's~Nuryn :
Me nataman kugive up, na ukifkiria maneno ya watu kuhus wanajesh kwamba ni waongo ndo kabisa nakosa iman
2026-07-26 05:14:31
1
user9339091083176
leahalbert :
ukikaza moyo ni simple tu
2026-07-26 05:13:02
2
sallybaby104
baby Sally❤️ :
mi nimemzika jana tu😭😭😭😭
2026-07-26 06:08:27
0
naomi_87
naomy :
hivi nyie mnaosema amjawasiliana miezi mbona wangu Yuko nje na tunawasilina Kila siku na Kila mda tunachart na mwaka unaisha atujawa kuacha kuchat. labda akienda porini ananitext Niko polini nitakuchek nikirud na akirud usiku sana au Kesho Ake lazima anitext na tunaweza kuchart siku nzima Sasa nyie nashidwa kuwaelewa 😁😁😁 Kuna mtu Yuko nae anafanya anakuwa bize. maana Ata akiwa zamu anaenda na cm na tunaendelea kuchart kama kawaida na tunaongea video call mara tatu kwa week lkn kuchart ni dealy
2026-07-26 07:03:38
2
lovenes.paulo4
♥️♥️ P :
nilikaa wiki mbili bila kuona simu Wala message yake nikaamua kumwambia tuachane ajabu message ya kuachana akajibu nakusema ananipenda sana na hawez kuniacha 🙆🙆🙆
2026-07-26 06:01:46
3
user6101080452013
Queen💝 :
Mim naona penzi limesha kufa maana cjui hata mala yamwisho ni lini tuliongea
2026-07-26 03:32:46
3
sarsha444
sarsha :
Mmh.hawa watu I nahitaji uwe namoyo mgumu kuvumilia anaweza asikutqfute Ata wiki akakwambia alikuwa bise kweny mazoez
2026-07-26 00:25:50
2
lucykulwah
C H A U P O L E 🥰 :
2026-07-26 08:37:19
0
lavyliqhbpp
lavy2733 :
kila siku wangu
2026-07-26 08:36:13
0
amyna.juma309
Amyna Juma :
mwezi
2026-07-26 08:24:33
0
zulfamwanyila0
zulpha Islam💞 :
Kila saa kila mda Nakupenda sana mume wangu kwaku jali haijalish upo mbali na mimi
2026-07-26 08:10:48
0
rosekanuti280
ODO ROSE :
hapo kwanza ncheke 😂😅
2026-07-26 08:12:36
0
tummie8979
💞self love💞💗 :
siku mbili now😭😭
2026-07-26 08:04:02
0
mollel.lady1
Mollel lady :
Hapa Naomba nilie kwanza jmn yamenikuta no trust again nme surrender
2026-07-26 08:26:10
0
momnayma26
cecy@ :
Nina wiki sas et yup busy na kazi
2026-07-26 09:22:25
0
sammy.beauty.heen
sammy beauty heena :
kama nusu saaa iviii🥰👌
2026-07-26 06:55:20
0
sophia.ezekiel2
Sophia Ezekiel :
Ndomim kabisa
2026-07-26 09:21:25
0
aggymadagi527
Aggy Madagi :
mmmh kaniambia mbaka six weeks zihishee yan nimemic mbak naumwaa🥹🥹
2026-07-26 07:17:43
0
chuchu23697
chunge23 :
wewe ni mimi kabisa😔
2026-07-26 07:05:20
0
user1618698247548
Young _ d :
weacha tuu 🤣🤣🤣
2026-07-26 06:59:44
0
annethpatrick185
ANNETH 😋 :
MAN IN UNIFORM mpaka nawaogopa 🤣
2026-07-26 03:34:55
0
To see more videos from user @alphacommando2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About