@mwl.emilian.katub7: Kupitia ushuhuda wa huyu mama na kile Mungu alichofanya kwenye familia yake na kwa mme wake Nakuombea na wewe kabla mwezi huu wa saba mwezi wa kicheko haujaisha. Bwana akufungulie mlango mkubwa na wa kufaa sana Mlango uliobeba baraka ambao utaleta kicheko kwenye maisha yako katika jina la Yesu Pokea kicheko na wewe

Mwl Emilian Katubayemo
Mwl Emilian Katubayemo
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 26 July 2026 04:17:46 GMT
113231
18765
3105
954

Music

Download

Comments

loml1847
loml :
everybody say AMEN 🙏
2026-07-26 08:05:58
85
solomon.muthoka3
Muthoka Jrn :
Amen Amen 🙏🙏🙏🙌 Remember me Almighty God 🙏🙏
2026-07-27 07:26:33
1
gladyskhabetsa
Gladys glady :
mungu nifungulie mlango wa kazi, spirit of stagnation i rebuke it in the name of Jesus
2026-07-26 18:43:11
16
ms_jacqiemwash
ms_JacqieMwash* :
I carry the evidence of God’s grace..Amen
2026-07-27 07:08:22
1
the.g.l.l
THE G.L.L :
Amen and amen
2026-07-27 07:10:17
0
user93759808676994
user93759808676994 :
🙏 John 🙏 amen 🙏 amen 🙏 amen 🙏 amen 🙏 amen 🙏 amen 🙏
2026-07-27 13:40:38
0
rosergpyetq
🎀Rosalia🎀 :
Ameeen...napokea kufunguliwa mlango mkubwa na wakufaa sana🙌🙌🙏
2026-07-26 05:21:16
60
thisis_.triacey
Thisis_.triacey :
In Jesus Name Amen 🥹🙏🏾
2026-07-26 07:20:30
2
johnotanga373
John Otanga :
Amen and Amen 🙏 🙌
2026-07-26 17:11:16
2
user994035029256
lucymollel :
Mungu anisaidie ili mlango wa baraka kwenye kazi yangu ipate kibali na katika maish yangu
2026-07-26 05:16:21
20
user9733273194740
ruth :
Mungu fungulia familia yangu mlango mkubwa na wakufaa sana
2026-07-26 23:12:50
5
beinghappie04
beinghappie04 :
Napokea kwa jina la Yesu “🥹🙏🙌
2026-07-26 07:15:55
10
remisamwel7
💙am lemina🫶🦋 :
AMEN 🙏 napokea kwajina la yesu
2026-07-27 06:09:25
3
vailetifikoti103
mama neysta :
Mungu nifungulie mlango mkubwa wa kufaa saana, kabla mwezi huu wa kicheko haujaisha kwa jina la Yesu Kristo. Amen
2026-07-26 10:38:04
7
mbopa4
mbopa4 :
napokea kicheko kabla ya mwez huu kuisha
2026-07-26 15:23:10
16
mariebosl
Mariebosl :
Amina
2026-07-26 07:19:12
3
bettyosborn
bettyosborn :
Mungu pia Mimi naomba umfanyie pia mm mume wangu mlango wa kazi nzuri nipate kicheko😭😭 nmelia inatosha
2026-07-26 14:21:29
2
richardmsigwa393
🔥🔥🔥🔥 :
amen naiwe kwangu kwa jina la YESU
2026-07-26 10:02:23
2
mapea6602
Mapea 🔥🔥 :
Amen 🛐🙏
2026-07-26 18:23:08
2
ercy176
Princess Ercy🦋🤍🦋 :
Eeh MWENYEZI MUNGU NIKUMBUKE NA MIMI🙏🙏🙏🙏 AMEN NAPOKEA KATIKA JINA LA YESU KRISTO.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-26 09:33:34
1
ainesmgimbwa
Ainesmgimbwa :
amina napokea nakujiungamanisha na maombi
2026-07-26 05:53:43
4
mamake.talia34
Pamela🥰 :
Amen 🙏🙏
2026-07-26 06:06:16
3
charlesavenue
Charles Avenue :
Amen
2026-07-26 05:51:48
3
mariammbaga0
maria :
Amiiina
2026-07-26 10:47:55
1
lorachuwa
Manka❤️❤️ :
Mungu naomba nifungulie mlango wa kufaa sana katika maisha yangu🙏🙏
2026-07-27 02:49:02
2
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About