Even now , I'm drinking pepsi …I'm won't stop. is killing no Me
2026-07-27 03:42:28
0
lusajo mgogo :
Tunywe nini kaka
2026-07-26 07:57:18
3
Mateso Kaneke :
Kwani serekali inaweza ruhusu sumu zitengenezwe?
2026-07-26 12:10:22
3
amonashtz :
Dunia imekuwa na ujuaji mwingi asee kutishana tishana tuu,,sasa mi nauliza tuu usipokunywa hautokufa utaishi milele etii wasomi kuna watu walikufa kwenye ajarii,Tetemeko,ukimwi,malaria na magonjwa mengii tuu hv unajua mkifanya mnavyotaka hata vyakula tuu vinakemikali nyingi tuu so acheni kutisha watuu cc sote ni wa mungu na tutaondoka kwa staili tofautii wapo waliojitunza wakafaa pia
2026-07-26 16:56:44
8
Logan :
Alhamdulillah maji ananitosha
2026-07-26 15:51:36
6
DIASPORA OG :
asa tunywe nn jaman mbona me nachoka
2026-07-26 18:34:53
4
HIJ47&@221 :
Apo ngoja nchekee🤣🤣🤣 yaaan nisinywe pepsi ili iweje kama kufa wote tutakufa cheee!
2026-07-26 17:17:41
4
príshañ🦋 :
kuna rafki yangu awezi pitisha sku ajanywa Pepsi pole yake na hataki kuacha
2026-07-26 09:43:08
4
there_are_hamil :
Tufe tu Poa
2026-07-26 15:32:40
2
Imani...💯 :
tunywe Nini sasa
2026-07-26 15:33:37
0
Alison :
mm sumu tu ndio sinywi
2026-07-26 18:03:00
1
my name :
sasa unazuia download ya nn
2026-07-26 17:13:43
1
Yussuf Ally :
ndo utuambie vina nn
2026-07-26 16:09:08
1
every John :
mbona anaviuza
2026-07-26 17:25:14
1
CONSOUS.♣️🇹🇿🇸🇦🇸🇩 :
Hakuna kitu kisichokuwa na madhara Kwa Dunia ya sasa we kunywa.
2026-07-26 17:12:43
1
LC 300 Series :
Pepsi died vip
2026-07-26 20:55:38
0
zuber 26 :
duh sis wa safari mpaka maji ya dukan nayo et hatar Sasa c tutakufa
2026-07-26 20:13:08
1
Wonder VG :
what should we drink instead 🤔
2026-07-26 12:49:35
0
Nice :
Thank God I didn't see my Fanta there 😁
2026-07-26 07:31:38
3
Cuzo 🌼✨️ :
Bora sjaona coffee
2026-07-26 16:08:09
1
Tatu Said :
mtuwache tumechoka
2026-07-27 08:01:38
0
user3167793660162frolah :
nausipokunywa hifi???
2026-07-27 08:51:50
0
To see more videos from user @ommygoldene8, please go to the Tikwm
homepage.