hahahahahahaha yaani uyu odemba atafanya watu wajambe
2026-07-26 11:57:17
7
William Bariye :
Odemba unapambana na atahira achananaye
2026-07-26 16:57:01
4
fat00m❤️ :
odemba kama odemba ni 1 tu
2026-07-26 13:51:38
6
bonphace :
swali zuri sana hilo
2026-07-26 20:33:51
1
noni umwene :
mchongo
2026-07-26 11:52:44
3
edo JR :
hiyo nitamaa kwann agombee na huku kashika kile wengine hawakuwepo?
2026-07-26 12:30:30
2
Said :
Kusema ukweli aina hii ya viongozi hakuna mahali tunafika
2026-07-26 20:20:30
1
Debora Zabron :
😂😂apna
2026-07-26 18:22:11
1
amanirabani :
odemba agaria wasikuteke
2026-07-26 14:20:33
1
Pm f :
Hii jamaa Ina dharau sana watanzania
2026-07-26 14:40:26
1
user4762309307251 :
kwepakwepa hk ukiwa unajua mchongo mzima😳😳😳
2026-07-26 12:11:02
3
invincible9721 :
Anajamba tu
2026-07-26 13:16:49
1
Amadi Luamba 13 :
ndio chauma iyo!!!!!!!
2026-07-26 20:31:44
1
sum :
chauma ni mtoto wa ccm sasa hawa nao tuta malizana nao bada ya kuchukua nchi
2026-07-26 12:26:06
1
maja :
mwandishi wa habar anakili Sana kuliko huyu mzee
2026-07-26 19:10:48
1
Yusuph mdaki :
du njia za waongo Fupi Rushwa ya vyeo hio ni ccm b.aibu kwa taifabipo siku mtakumvuka huu uozo mtaujutia Taifa linaongizwa kijanjajanja njaa Mbaya sana.
2026-07-26 15:36:58
0
mr.Evans :
😁😁😁 ila odemba kaka ishi miaka mingi ww ni kisu cha gongo wazi ,, una wanyukaga maswali kweli kweli
2026-07-26 14:26:17
0
isaac :
ondemba hayo ndio machawa mkubwa ya chama angalia yasikuteke
2026-07-26 19:46:19
1
Abuu Tariq :
odemba usawalete ao studio wanamaliza umeme wa apo studio sababu akuna ata mtanzania mmoja aliyo wapijia kura ao wamewekwatuu ao ni watoto wao
2026-07-26 12:40:59
1
Emma🤩 :
DALALIII AMESHIKWA KWENYEE 18
2026-07-26 20:55:39
0
To see more videos from user @uhakulaj, please go to the Tikwm
homepage.