waja wazito tupo wengi humu Allah atujaalie tujifungue salama kwa uwezo wake inshaallah
2026-07-26 16:35:31
56
reruu :
Allah anifanyie wepesi nijifungue salama in sha allah
2026-07-26 14:05:46
46
mrs A🤩😍 :
Allah njalie njifungue salama🥰🥰
2026-07-26 13:56:31
71
💙MISS 🦋 AISHAH✨️ :
haya,sasa sisi matasa tutasemehewa lini jamani🥺🥺🥺
2026-07-26 12:43:18
18
saidzolajunior :
mwenyeezi Mungu amjaalie mke wangu ajifungue salama. ameen
2026-07-26 15:25:43
14
Mariam :
Amin Amin Amin
2026-07-26 14:58:22
0
smartdady :
Ya Allah nijalie nijifungue salama
2026-07-26 16:16:06
3
✨💫 🇰🇪Fatma 🇸🇦 ♥️💫✨ :
Nataka mimba ya haraka please 😂😂😂
2026-07-26 17:49:58
0
طمطومة🌷 :
kaka mm nimwanankwe nikimpa mwanaume mahari ndowaina sihi
2026-07-26 07:21:36
3
_afa_ :
Sasa SWALI HUJAJIBU YUWAFITIWA MADHAMBI AMA HAFUTIWI MANAKE KUFA KWA MAZAZI NI USHAHIDI YAANI YUWAINGIA PEPONI KWA REHMA ZA MUNGU SWALI NI JE YUWAFUTIWA MADHAMBI AMA HAFUTIWI NA MTU MWENYEWE HAJAKUFA?
2026-07-26 14:06:30
4
fatma60f4 :
Allah anatupenda maana yale machungu ya kujifunga hayahadisiki ila Alhamdullillah
2026-07-26 14:49:22
2
Tasneem Mia💋 :
Nmejipata machozi yanitoka bila sababu😞
2026-07-26 09:57:41
3
Zahra Ali Muhammad :
assalamualaikum warahmatullahi wabarakatuh mm Nina swali mwanamke mjamzito ni sahih kununua nguo za za mtoto kabla ya kujifungua
2026-07-26 08:10:59
0
A$N@T¥ 💦 :
sina zambi kumbeee😂
2026-07-26 14:32:43
0
Mariam Cosmas :
mwenyez mungu anifanyie wepes nijifungue salama inshaallah
2026-07-26 14:24:29
4
zahra103 :
ooh mashaallah inna llaha maghaa swabir. alhaamdlllah rabbi akuhifadh sheykh bahero na sheykh wetu hapo
2026-07-26 13:00:14
1
Me🥰 :
Allah akbar
2026-07-26 12:06:14
1
Thelma Shania :
Allahuakbar 🥰❤️❤️
2026-07-26 11:14:36
3
YOUSSOUPH KALO (Mwichu) :
shukhrany kwa ufaham
2026-07-26 07:12:29
1
@lady jaguar 💖 :
Allah nijalie nivuke salama
2026-07-26 18:37:22
0
user3141431742276 :
Allah anijalie nivuke salama
2026-07-26 18:34:56
0
Mwajuma Saladi :
namuomba mungu anijaalie mema na anijaslie nijifungue salama
2026-07-26 18:16:24
0
Muhammad :
Ya Allah Walipe ujra mkubwa Mama zetu kwa kila zito wanalolipitia 🤲
2026-07-26 17:48:47
0
user9719438697941 :
he! basi saiv nadhamb chache sasa
2026-07-26 17:17:13
0
To see more videos from user @alhaajartvkenya, please go to the Tikwm
homepage.