@ramadhaniiddi98: Chozi la baba kwa binti yake, Sheikh Yaqin Said Nkokoo #islamic_video #singida #tikitoktanzania🇹🇿 #creatorsearchinsights #cupcut #tiktok #goviral
Mwenye ez Mungu naomba nipate mwanamme mwenye upendo Kama wa baba angu Amiin🙏🙏🙏
2026-07-27 08:47:14
52
Nana🥰 :
nilivyo muona tu hyu shekh moja moja nikajua ni wa singida
2026-07-28 12:45:09
13
3D_AQUARIUM :
Naam...Shekhe amongea vitu vya uhalisia katika mioyo ya wazazi wote duniani ..hakika huruma za mzazi ni kubwa sana kwa watoto wao Allah awahifadhi wazazi wetu 🤲
2026-07-26 17:27:57
34
💖ukhty💝zuuh✨ :
sahih
2026-07-26 17:18:10
6
shuu♥️743 :
hongereni mwenye baba zenu mm niliambiwa hata iweje nisirud nyumbani daah😭
2026-07-28 10:45:13
6
faudhia hamisi abrahaman :
true kabisa sheikh
2026-07-26 14:05:02
6
G10 :
sahihi shekh nakukubali sana singida mwayadi kwetu
2026-07-26 18:34:51
11
Yusra :
naumia sanq mm mungu nijalie mmemwema
2026-07-28 03:39:46
4
babe nayla💞🎀 :
nampenda sana baba angu
2026-07-28 20:09:33
2
kessey Swide :
Kweli kabsaa
2026-07-26 17:47:25
5
arafah😘😘 :
ni kweli
2026-07-26 15:57:18
7
user1435754358297 :
wanaume pia wajiulize je yeye alimlea mkewe vipi kama wapenda bint Yako mpende mkeo pia
2026-07-27 11:56:02
6
kasim.shehkafa :
hun ndug
2026-07-27 18:33:06
2
Sayra Sham :
Ya Allah wajalie wasichana wetu dada zetu wanaume wema
amin
2026-07-27 07:34:54
6
girl tanga :
ndy maan baba ang dada ang alipo olewa anauliza kila mda halalamiki ak 🥰🥰🥰🥰
2026-07-28 05:31:48
4
chamy baby :
kabisaaa
2026-07-27 11:55:10
2
farida bashir :
nampenda sana baba yangu
2026-07-27 20:35:30
7
soum rashidi :
mashallah naomba ndoa EE MOLA WANGU
2026-07-27 04:19:13
10
Farijika Musa :
ni kwel shehe du! ilongero 🥰🥰🥰
2026-07-29 06:38:22
1
user3733695595610 :
yarrabi rzqni zaujaa swalihh🥺🥺
2026-07-27 17:51:07
3
queen dimpo's :
nampenda sana baba yangu allah ajaalie aniozeshe bint yake kwa mume aliyekuwa mwema 🥰
2026-07-29 07:19:41
3
faidhaomar611 :
hongera sana shekhe wetu wa ilongero
2026-07-28 08:24:43
4
leem :
swadakta
2026-07-27 07:55:18
2
To see more videos from user @ramadhaniiddi98, please go to the Tikwm
homepage.