@_zuzaism: Part 157 | Tunazungumzia kusudi la maisha na uungu ulioko ndani ya kila mwanadamu, tukikataa kelele za jamii na mifumo ya nje. Tunakualika utafute sauti yako ya asili na ujiunge na familia yetu ya ndani. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #purpose #within
Fikiria Nyumba tunazoishi na Umeme ni m1 connected
2026-07-27 18:54:16
2
SOSPETER MWAGENI🇹🇿 :
Ahsante sana 🙏
2026-07-27 07:03:30
3
moo :
kaka najifunza kwa umakini sana
2026-07-28 19:49:40
1
Marc Nduba :
mimi ninani ? sijui! natakiwa kufanya nini? sijui! lakini ningali najitafuta.
2026-07-26 13:24:08
2
awadhi ♒❤️🩹♾️ :
kadri unavyo zidi kuueleza ukweli wa kiulimwengu ndivyo vilevile waliokuzunguka wanazid kuupinga na kuufanya kama si chochote (kuupuuza)... Wanapambana kuzima nuru zetu moj kwa moja
2026-07-28 05:26:30
1
yvan chief king :
nipo na wew sambamba
2026-07-26 13:56:39
1
vegetables stores :
asante kaka
2026-07-27 07:13:40
1
arusha used FURNITURE :
ndio kaka 🫡🫡
2026-07-26 14:27:05
1
Ally Mtaumbe :
safi
2026-07-26 18:43:00
1
abdulaziz msuya :
nakuskiza sana
2026-07-26 13:23:56
1
mcnexuz :
let's go
2026-07-26 15:56:47
2
niko_ooo1 :
issue ya kuzaliwa tunachagua(kujiumba) au tunatengenezwa?
2026-07-28 18:40:16
2
Elisha :
Kwel broo tupo Dunian kwajil ya ku create vitu yaan Manupulation of energy
2026-07-26 14:03:58
2
abeljermanus :
uungu uliomo ndani yetu unaweza kupambana na uchawi,,,elezea kwa proof bro
2026-07-27 15:24:20
1
Adonai fransi :
forome 😁😁😁
2026-07-26 16:27:24
2
tinhandojr :
let's go zuza
2026-07-26 18:18:20
1
mthambikeni :
Choosen one??
2026-07-26 17:50:17
4
bos_gka 🇨🇦 :
Im God creator of my own reality, asante sana!❤️🙏
2026-08-10 08:29:53
0
organ :
bega kwa bega kaka
2026-07-26 21:13:41
1
ALLAN'S STORE :
mi nna swali kama sisi ni miungu tunajiokoaje na kujipa bahati ikiwa vyote hutupata tukiwa tumekata tamaa
2026-08-02 18:40:53
1
ziru,Jr :
20chap nalipa chap
2026-07-26 13:15:24
2
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm
homepage.